Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Nyumba hujengwa kwa hekima,na kuimarishwa kwa busara.Kwa maarifa vyumba vyake hujazwa vitu vya thamani na vya kupendeza(mithali 24:3-4).
II Samuel 11: 6-13. DO NOT TRY TO COVER UP SINS, REPENT AND SEEK GODS FORGIVENESS!!! Samahani mambo ya bible knowledge! Naretrieve randomly!
 
Ndoa ni taasisi inayounganisha binadamu wawili,wasio wakamilifu....kama sifa ya ubinadamu! Lakini mapungufu ya binadamu hao,hayoondoi utakatifu, umuhimu, uzuri na manufaa ya taasisi hii.
Ubaya zaidi huonekana ktk NDOA pale mtu anapooa au kuolewa na mtu kama wewe lara1 huna mapenzi,huieshimu taasisi hii takatifu, kuchepuka kwako sio inshu,mabuzi ndio sehemu ya maisha, kujiona unajua kila kitu nk...
Kwa umri wako (mtu mzima yeyote),lazima uwe na mtu wa karibu zaidi ya rafiki,mzazi au ndugu! Ambae utakuwa huru mbele yake,kumuelezea shida na matatizo yako hata yale ya siri....
Hebu fikiri,leo hii unaumwa ugonjwa mkubwa kwa zaidi ya miaka 2....unahitaji mtu wa karibu muda wote,trust me wote watachoka except your husband or wife!
Matatizo na migogoro ipo,but ndoa ni taasisi takatifu.
MUMEO AU MKEO NI ZAIDI YA NDUGU YAKO!
 
Last edited by a moderator:
life is more than marriage.... its just a matter of play your card well...ndoa imesababisha mengi humu duniani mabaya na mazuri .... any way we are waiting kwa hao amabo wanaushuhuda mzuri na mbaya pia

Yap ndoa si kwa kila mtu,basi na kwa yule aliyeamua kukaa bila ndoa basi na asiwe chambo cha kuharibu ndoa za watu.
 
kama unafki upo haiwezi kwa wote ni moja ya kumi ya abiria waweza kuwa wanafki asilimia kubwa ni raha kwa sababu kila anaingia kwenye taasisi hiyo hashurutiswi ni kwa hiari yake

Tunachobishana humu NI UPO AU HAUPO? Huko % upo kiasi gani mpaka ikubaliwe upo! We ukiwa unasema sio wote, wengine wanasema HAKUNA KABISAAAAAA! Wengine HAITAKIWI HATA KUINSINUATE UWEZEKANO JAPO NUKTA WA KUWEPO INSHU KAMA HIO KATIKA TAASISI SAFI YA ROHO KAMA HII! Umeonaaaaa!
 
Kutumia BIBLIA TAKATIFU kwenye maandiko ya yako ya KISHETANI Ukome.Ni bora ungetamani kuwa MTAWA,siyo KUGONGWA Kama MBWA
 

Lara 1,

Although here we do not know each other ( we might in the real world), but if JF administration had introduced best member competition award, I would have nominated you based on; 1. Comprehension and/ understanding, 2. Communicative ability, of course shelving the fact that you mix languages and, 3. Speaking your mind.

Your contributions, however uncovering, irksome - are educating.
 
Samahani, nimesoma '1/5' ya stori yako NIMECHOKA. Ndeeeeeeefu, nafikiri hainihusu! Ngoja nichape lapa!
 
Kutumia BIBLIA TAKATIFU kwenye maandiko ya yako ya KISHETANI Ukome.Ni bora ungetamani kuwa MTAWA,siyo KUGONGWA Kama MBWA
Kwani akigongwa kama mbwa si yake???
Kamwambia mtu atoke kwenye ndoa yake au kamkataza mtu asiingie kwenye ndoa???
 
life is more than marriage.... its just a matter of play your card well...ndoa imesababisha mengi humu duniani mabaya na mazuri .... any way we are waiting kwa hao amabo wanaushuhuda mzuri na mbaya pia

sometimes its not about your cards... it may turn out that you just become other people's poker table!!
 
Yap ndoa si kwa kila mtu,basi na kwa yule aliyeamua kukaa bila ndoa basi na asiwe chambo cha kuharibu ndoa za watu.
Hahaaaaaa! THIS SHOCKS ME! Hivi mimi ninane blab hapa online, na mwana ndoa mwenzio anaenda kula vitu RASMI, kwa raha zakeee, kwenye michepuko huko, mpaka anazaa, mkewe hana hili wala lile NANI ANAHARIBU NDOA YAO IN REALITY? DONT BLAME OTHER PEOPLE FOR YOUR OWN MISTAKES!

Mi ninayesema hapa naonekana MBAYA, IBILISI, ILA ANAYEFANYA AAAAAH! KATELEZA TU! UKO RADHI KUMSAMEHE HUYO ALIE UMIZA HISIA ZAKO KULIKO LARA ALIEANDIKA MATENDO YAKE YA KUUUMIZA HISIA ZENU HAPA JF? You people are sometjing else! Hahaaaa!

MAHALAMA IMETOA TALAKA NYINGI SANAAAA, ILA HAMNA HATA MOJA ILIOSEMA LARA 1 ALIHARIBU NDOA YANGU KWA MAANDISHI YAKE JF! Interesting!

OKAY NAKUBALI MIMI NDO CHAZO CHA NDOA ZOTE WATU KUSHINDWANA, NAWAHARIBIA NDOA ZENU!

What a noble institution with noble people!
 
lara shoga angu mie nakuacha tu coz hata cha kukushauri vimeisha..na nyie wengine mueleweni tu hvyo hvyo na msimamo wake..ila soon o later utabadilisha msimamo mamy..
mie hadi hilo jina dramaqueen kupewa nlikuwa na hekaheka haswaaaa..buzi gani sikulichuna? mume gani wa mtu mwny nazo hakunipitia? nchi ganivya bata cjaenda? yaani dada zangu walikuwa wakiniuliza khs ndoa nlikuwa nawapa msimamo wako..
loooh 2yrs back nkashtuuukaaa ila nashukuru it wsnt late nkaingia mwili mzima ndoani..2yrs now happy like never b4 ALTHOUGH makwazo yapo jamani hata ndugu wa damu c tunagombana? so shoga ake Lara1 tuliza munkari utayakuta.
hlf umeniacha hoi eti huendi kucoment thread za watu unawapa umaarufu? kazi kweli kweli
 
Am never lost unless you know where I'm going. Besides everybody has their decisions in life and my decision is based on my experience.

sijaingia huko nadeal na mada saying ndoa hamna jipya you prove to know nothing completely,you think low
 


Mkuu watu8 michango mingi sn inatolewa humu mizuri juu ya NDOA ilivyo Nzuri tamu Na safi na Mahali salama kabisa! Lkn nashangaa watu Bado hawaelewi NA kuipondo NDOA!

Mimi nilitaka twende kwa vitendo sasa! lara 1 ebu nitafute Mimi nikuowe ufurahie Raha ya NDOA uone km Ni PEPO YA ALIYOTUANDALIA MUNGU NA NINAKUAMBIA HIVI YANI NIKIKUOA TU MIMI YANI NDANI YA MUDA MFUPI TU KWA ILE AMANI FURAHA UPENDO YANI ILE PEPO UTAKAYOKUA UKO, Utakuja hapa Jf kufuta kauli zako hizi unazoongea hapa sasaivi Na kuwashauri madada wooote waolewe au wawe KTK NDOA!

Nimeona nkujibu hivi kwasababu km ntatumia maandiko kwa Mifano km wewe ulivyotaja baadhi utakosa hoja!

Karibu sn!

Cc: mwallu miss neddy Khantwe Mr Rocky ladyfurahia Eli79
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…