Uzuri mtoa mada alishagundua mind zao mapemaaaa!!! akaruhusu watu watoe nyongo...
HAHAAAAAAA! Acha watu WATOE NYONGO ZOOTE MWILINI! NIMERUHUSU WATUKANE TENA WATUKANE SANAAAAA WAWE MSTARI WA MBELEEE WASAFISHE MIOYO SIKUKU INAKUJA!Kwani akigongwa kama mbwa si yake???
Kamwambia mtu atoke kwenye ndoa yake au kamkataza mtu asiingie kwenye ndoa???
sometimes stress zinasababisha mtu kukomaa kuponda jambo ili moyoni mwake apate temporary relief.
Kwani akigongwa kama mbwa si yake???
Kamwambia mtu atoke kwenye ndoa yake au kamkataza mtu asiingie kwenye ndoa???
nina wasiwasi na IQ ya huyu kiumbe
tatizo ni wanandoa hawajui ndoa,halafu kutokujua kule kukileta some problems mjinga mmoja anakuja ku acuse ndoa ilhali anajua sheria na principles za ndoa ni nini,huu ni uwezo mdogo wa kufikiri,kutafuta support ya rootescape ya marriage,ukiwa umezoea maisha ya been alone its real difficult to see two people togetherness for life as morals and principles are concerned
Ndoa ni wanandoa.
Si kila mwanaume ni husband material.
Si kila mwanamke ni wife material.
Ndoa kama taasisi yoyote inachangamoto zake, zinaweza kuijenga au kuibomoa.
Kila ndoa duniani ni ya aina yake, hakuna mbili zinazofanana. Ni kama finger print.
Uvumilivu katika ndoa ni muhimu. Kama ilivyo ili kufikia malengo yoyote yale.
What more should I say? Marriage is a very noble institution!
Ndoa ni wawili tu...
Mtu wa tatu anaiharibuje??[/QUOT
Jibu unalo tafakari
sijaingia huko nadeal na mada saying ndoa hamna jipya you prove to know nothing completely,you think low
we ni kahaba mwenzie period:
HAHAHAAAAAAA! Hata mimi naona SIKU YA HARUSI YETU, DIVORCE RATE HUMU NCHINI ABRUPTLY ITAFIKIA NEGATIVEEE, GESTI ZITABAIA WAZI, MARRIED BUT AVAILABLE WOTE WATARU KUWAPIGIA MAGOTI WAKE ZAO, WATOTO WA NJE WOTE WATA HALALISHWA KUWA WA NDOA NA KUBATIZWA NA KANISA LITAWAPOKE RASMI, WAZEE WA MICHEPUKO WOTE WATAWAHI KUTUBU KANISANI!Mkuu watu8 michango mingi sn inatolewa humu mizuri juu ya NDOA ilivyo Nzuri tamu Na safi na Mahali salama kabisa! Lkn nashangaa watu Bado hawaelewi NA kuipondo NDOA!
Mimi nilitaka twende kwa vitendo sasa! lara 1 ebu nitafute Mimi nikuowe ufurahie Raha ya NDOA uone km Ni PEPO YA ALIYOTUANDALIA MUNGU NA NINAKUAMBIA HIVI YANI NIKIKUOA TU MIMI YANI NDANI YA MUDA MFUPI TU KWA ILE AMANI FURAHA UPENDO YANI ILE PEPO UTAKAYOKUA UKO, Utakuja hapa Jf kufuta kauli zako hizi unazoongea hapa sasaivi Na kuwashauri madada wooote waolewe au wawe KTK NDOA!
Nimeona nkujibu hivi kwasababu km ntatumia maandiko kwa Mifano km wewe ulivyotaja baadhi utakosa hoja!
Karibu sn!
Cc: mwallu miss neddy Khantwe Mr Rocky ladyfurahia Eli79
Umeona alivyo na akili fupi eeh...So you think telling me that I think low makes me think low?? This is completely inferiority complexity, nilichosema kwenye comment yangu ni kwamba sioni jipya kwenye ndoa kwa sababu kila wanachofanya wanandoa nishafanya kasoro moja tu, kuhalalishwa kama mwanandoa, sasa wewe mwenye ndoa halali nithibitishie kwamba sijui nachosema.
hapa naona mashambulizi binafsi sioni majibu! Yani unahita ndoa taasisi takatifu wakati waliomo hawawezi kuwa wa takatifu!Ndoa ni taasisi inayounganisha binadamu wawili,wasio wakamilifu....kama sifa ya ubinadamu! Lakini mapungufu ya binadamu hao,hayoondoi utakatifu, umuhimu, uzuri na manufaa ya taasisi hii.
Ubaya zaidi huonekana ktk NDOA pale mtu anapooa au kuolewa na mtu kama wewe lara1 huna mapenzi,huieshimu taasisi hii takatifu, kuchepuka kwako sio inshu,mabuzi ndio sehemu ya maisha, kujiona unajua kila kitu nk...
Kwa umri wako (mtu mzima yeyote),lazima uwe na mtu wa karibu zaidi ya rafiki,mzazi au ndugu! Ambae utakuwa huru mbele yake,kumuelezea shida na matatizo yako hata yale ya siri....
Hebu fikiri,leo hii unaumwa ugonjwa mkubwa kwa zaidi ya miaka 2....unahitaji mtu wa karibu muda wote,trust me wote watachoka except your husband or wife!
Matatizo na migogoro ipo,but ndoa ni taasisi takatifu.
MUMEO AU MKEO NI ZAIDI YA NDUGU YAKO!
Kutumia BIBLIA TAKATIFU kwenye maandiko ya yako ya KISHETANI Ukome.Ni bora ungetamani kuwa MTAWA,siyo KUGONGWA Kama MBWA
Unaogopa kivuli chako?????Ndoa ni wawili tu...
Mtu wa tatu anaiharibuje??[/QUOT
Jibu unalo tafakari
ndio huo unafiki unaosemwa.
Hahaaaa! Mwenzio jana alisutwa na keki huyu ndo maana WATU WANAMKWEPA KAMA UKOMA, UTAJISHUSHIA PR BUREEEEE CC Da Pretty hapo kwenye attachment ANTI SAJO HUYO KILA MYU ANAMJUA MNAJISUMBUA BUREEEEE! Hahaaaaaa!So you think telling me that I think low makes me think low?? This is completely inferiority complexity, nilichosema kwenye comment yangu ni kwamba sioni jipya kwenye ndoa kwa sababu kila wanachofanya wanandoa nishafanya kasoro moja tu, kuhalalishwa kama mwanandoa, sasa wewe mwenye ndoa halali nithibitishie kwamba sijui nachosema.
Samahani, nimesoma '1/5' ya stori yako NIMECHOKA. Ndeeeeeeefu, nafikiri hainihusu! Ngoja nichape lapa!