Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

Mkuu hapa unazungumzia umuhimu wa ndoa na si kama ndoa ni taasisi yenye unafiki au lah! Mtu kuolewa au kuto olewa hakuondoi ukweli wa hii taasisi kuwa hypo!

Unafiki ni relative term. Tell me about it...

na je opposite ya hii taasisi hakuna unafiki? afu pima ukubwa wa unafiki na uchague kilicho bora.

Hivi tunaweza kujadili kama choo kinanuka au hakinuki? na je kunuka kwa choo kumesababishwa na mpikaji wa chakula, mlaji au mnyaji? Kuna vitu vingine vinahitaji logic zaidi kuliko mjadala.EVERY WOMAN NEEDS A MAN. Period. sasa basi huyo mwanaume anapaswa kuwa na cheo gani ili awe wako? kazi ni kwako.

Afu leo nimefuturu kabla ya muda. şamehe mimi ewe mungu.

Hivi Kaizer na Mentor wamepita hapa? na snowhite na Fixed Point?
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu akitunukiwa nishani ya ufanyakazi bora,inamaanisha hakuwahi kukosea muda wote aliokuwa akifanya kazi?..tumuite mnafiki kwa kuwa kwake mfanyakazi bora?
Walioko kwenye ndoa ni wanadamu pia ...Sio malaika kusema hawakosei...to err is human....married or single.... Wote tunakosea. .na kukosea Sio unafiki matatizo pia lazima yasemwe

Kwa kifupi umekubaliana na mtoa mada..
 
na wewe umeingia kwenye mianasha.huu??

Hebu njoo ufanye uzalishaji.

Unafiki ni relative term. Tell me about it...

na je opposite ya hii taasisi hakuna unafiki? afu pima ukubwa wa unafiki na uchague kilicho bora.

Hivi tunaweza kujadili kama choo kinanuka au hakinuki? na je kunuka kwa choo kumesababishwa na mpikaji wa chakula, mlaji au mnyaji? Kuna vitu vingine vinahitaji logic zaidi kuliko mjadala.EVERY WOMAN NEEDS A MAN. Period.

Hivi Kaizer na Mentor wamepita hapa? na snowhite na Fixed Point?
 
Last edited by a moderator:
Unafiki ni relative term. Tell me about it...

na je opposite ya hii taasisi hakuna unafiki? afu pima ukubwa wa unafiki na uchague kilicho bora.

Hivi tunaweza kujadili kama choo kinanuka au hakinuki? na je kunuka kwa choo kumesababishwa na mpikaji wa chakula, mlaji au mnyaji? Kuna vitu vingine vinahitaji logic zaidi kuliko mjadala. EVERY WOMAN NEEDS A MAN. Period . sasa basi huyo mwanaume anapaswa kuwa na cheo gani ili awe wako? kazi ni kwako.

Afu leo nimefuturu kabla ya muda. amehe mimi ewe mungu.

Hivi Kaizer na Mentor wamepita hapa? na snowhite na Fixed Point?
Bila shaka unakubaliana na mtoa mada!
Hayo mengine yako nje!
 
Last edited by a moderator:
Finaly a logical response ila sababu na mie BIBLE KNOWLEDGE MAJOR twende mdogo mdogo!

Mimi nimesema Daudi hakuwa na NDOA TAMBARAREEE! Ndoa ilikuwa na mushkeli, na pia nilisema ALITUBU so umefanya tu repitition ya nilichokisema!

Ibrahim hakuwa mnafiki kwa sara JE MTOTO WAKE YULE MWINGINE? NA YULE MAMA WA MTOTO JE? Kweli hata wanandoa wa saivi wakitubu WATASAMEHEWA! Nimempa watu8 kifungu kile cha Samwell muhimu sanaa!

Eva alichomfanyia adamu ULE NI UPENDO EEEH!? Okay! Maana hata hio chapter ina interpretations nyingi sanaa!

Bible ina INTERPRETATIONS NYINGI SANAAA! Sitaki niongee watu wa dini wanishukie BOTTOM LINE WAS NOTION YA NDOA NI TAMBARARE SIO KWELI NDO MAANA NIKAKUONESHA NDOA ZILIZOZAA KASH KASH WITHIN NA KWA WATU WA NJE!

hewalaa tuko pamoja kabisa,kash kash za ndoa hazitufanyi tuseme ndoa ni Unafiki,wala mwanandoa mmoja akikosea hatuwezi kusema wote ni wanafiki,Eva alichokifanya ilitokana na Udhaifu wa Adam kumwacha pekeyake,hyo haitufanyi kusema ni Unafiki kwanza hata hakuwepo wakat Mungu anampa maagizo Adam,kila jambo alipandalo mtu lazima avune,lakini hatuwez kuhukumu kwamba ndoa ni unafiki, tusemeje juu ya mke wa Ayubu? Mfalme Suleiman? Vip Jacob kwa Lea na Rahel? Wote hawa ni wanadamu wana madhaifu yao lakini hayatufanyi tuseme ni ndoa zao ni unafiki,ndoa kama ndoa haina shida wanadam waundao ndoa ndo wenye shda.

Tafsiri hizo za maandiko ni za wanadam,tunachojua walikatazwa wasile tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya,vipi andiko la msinyimane mmepewa kupatana kwa muda je ndo tuseme uzinzi ruksa?

Maisha yoyote yale hakuna tambarare,kukomaa ni muhimu,ndoa yenyewe ukibweteka mieleka kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
Unafiki ni relative term. Tell me about it...

na je opposite ya hii taasisi hakuna unafiki? afu pima ukubwa wa unafiki na uchague kilicho bora.

Hivi tunaweza kujadili kama choo kinanuka au hakinuki? na je kunuka kwa choo kumesababishwa na mpikaji wa chakula, mlaji au mnyaji? Kuna vitu vingine vinahitaji logic zaidi kuliko mjadala.EVERY WOMAN NEEDS A MAN. Period. sasa basi huyo mwanaume anapaswa kuwa na cheo gani ili awe wako? kazi ni kwako.

Afu leo nimefuturu kabla ya muda. şamehe mimi ewe mungu.

Hivi Kaizer na Mentor wamepita hapa? na snowhite na Fixed Point?

Kunani hapa hili kwenye neno la ODM?
 
Last edited by a moderator:
Almost 30 yrs ago nilikuwa na view ya ndoa kama mleta mada anavyoziona. Nilichukia ndoa na wanaume niliamua kusoma sana . Niliona shangazi yangu akiuwawa na mme wake, niliona majirani kila siku usiku wanapewa kichapo lakini asubuhi wanasmile. Niliona vimada wakija kutukana wake za wenyewe. Niliona wamama wakitupiwa watoto wa waume zao na wakilea. Niliona mengi mabaya ya ndoa na iliniaffect sana kisaikolojia hata nilikuwa nikiona wanandoa wanapendana nilijua after 5 yrs wataanza kudundana tu! Ila kuna kitu kimoja nilimuambia Mungu pamoja na kuchukia ndoa sitakaa niwe na mme kwa kuwa sitaki mwanamke mwenzangu aumie. Nilibahatika kwenda kusoma nje nikakutana na mmama wa kizungu mzee wa 80yrs nikamuuliza kama anafuga mbwa alinijibu no. i have a lovely family! So nikajua loneliness inafanya watu wapende wanyama.

Umri ulienda wadogo na marafiki zangu waliolewa nikaanza kuona ninapokwenda sio. Nikiona marafiki zangu wa kizungu wanafuga rabbut, guinea pig au mbwa yote hii ni loneliness mmoja aliniambia kama angerudisha miaka nyuma angeolewa na kuzaa! So since nilianua kutulia sikuwa mapepe niliolewa na babu .com na mpk leo si regret kuolewa. My hubby ndio my best friend hasa umri huu ambao kila mtoto yuko kwake. Tukiamua tunalala sitiing room. Tukiamua tunalala kwa hotel. Tukiamua tunaexplore ulimwengu kwa kwenda nje ya nchi.

Ndoa ni nzuri sana na iheshimiwa. Ukiona ndoa nu mbaya jaribu usingle especialy 46 and above unless uwe ni mjane hiyo inaeleweka
 
Back
Top Bottom