ahsante sinani!Dah mpwa kazi ipo....kama umeamua kufuta past na kuanza afresh basi naamini haitakuwa ngumu kwako kufanya maamuzi sahihi,piga moyo konde vitisho visikutetereshe mpwa weka msimamo songa mbele
SHUKRANI MKUU!ni kina nani kwanza...nyumba ndogo umeanza mapema ndugu utapona...kma ni vimada wa zamani hapo sioni noma unless kulikuwa kuna ahadi kuwa utawaoa ama kuna watoto etc...wakileta za kuleta wachukulie restraining orders!! hilo kanisa walione paa siku ya harusi!
ha ha ha!ahsante mkuu wangu!Geoff hao hawana lolote wanachimba mkwala usio na nguvu
huna mkataba nao zaidi ya kubanjuana
hata kama ulicheza faulo ukajipatia katoto na mmoja wao haina nguvu bado
wanaweke pingamizi kama kina nani? ama uliwahi kufunga ndoa kwa DC tuambizane
Mbona inaonyesha enzi zako ulikuwa mtambo kabla hujaamua maamuzi haya ya hekima na busara
ahsante sinani!
umemaanisha niwamwage totally!
kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?
ahsante sinani!
umemaanisha niwamwage totally!
kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?
umesikika shemeji!Mhh shemeji ni wewe? yani una nyumba ndogo hata kabla hujafunga ndoa.Unaoneka umekuwa kroniki wewe na huu ugonjwa. Sijui nikusaidieje? sababu tatizo sio hao wanaokung'ang'ania ila YOU ARE THE PROBLEM YOURSELF.
Labda maombi ya kitume na kinabii yatakufaa.tukemee hili PEPO litoke.
UMESIKIKA love!hivi ina maana mpaka sasa bado unaonana nao achia mbali kuendelea nao? una yeyote uliezaa nae? kama huna nani wa kukutisha hapo, waweke kipingamizi cha namna gani hapo sasa jamani, hebu oa huko.
mpwa mpwaaaaaaaaaa! ha ha ha ha ah!KAMATA SENKSI!
niambie basi
KWANINI WAMEKUWA VING'ANG'ANIZI?
mpwa mpwaaaaaaaaaa! ha ha ha ha ah!KAMATA SENKSI!
niambie basi
KWANINI WAMEKUWA VING'ANG'ANIZI?
Mhh shemeji ni wewe? yani una nyumba ndogo hata kabla hujafunga ndoa.Unaoneka umekuwa kroniki wewe na huu ugonjwa. Sijui nikusaidieje? sababu tatizo sio hao wanaokung'ang'ania ila YOU ARE THE PROBLEM YOURSELF.
Labda maombi ya kitume na kinabii yatakufaa.tukemee hili PEPO
litoke.