MARRIAGE IS ALMOST HERE,but kazi za nje hazitaki kuelewa!NIENDELEE AU NISIENDELE NAO?

MARRIAGE IS ALMOST HERE,but kazi za nje hazitaki kuelewa!NIENDELEE AU NISIENDELE NAO?

i am totally confused my people!

Kila nikiwaambia ''...jamani eeh,nimeamua kuoa leave me alone!..''wananitishia hata kuweka pingamizi kanisani.

Wanasisitiza ''wewe oa tu,lakini sisi tunaomba nafasi yetu iheshimikee!..''

jamani nisaidieni jamani...!niendelee nao au nisiendelee nao?

Nb:kuna vitu ambavyo huwa vinanishinda lakini sio kutunza siri jamani!(..i think i was born for this!).na wife hana analolijua kabisa kuhusu hili

nisaidieni wakuu

mbombo ngafu
 
UMESIKIKA love!
nitawamwaga so soon!
SINA MKATABA NA MTU SO FAR

SWALI:kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?????kwanini wanasema hata kama nikioa niendelee nao?????wakati mimi nimewaomba waniache?

umewaombea nini na kwanini? wao ni nani kwako mpaka uwaombe kuwaacha? nahic bado unawapenda na bado upo nao kicricri...hilo la wewe kuoa na kuendelea nalo ni balaa la kukukaribisha kwenye ndoa, anatega mimba mtoto wako kwa wife analingana na wake, wachana na hiyo mambo kabisa.
 
umesikika shemeji!
hawa nitawapiga chini

lakini kwanini wanakuwa ving'ang'anizi wakati nimewaambia NINAOA(seriously,and so soon!)

Ni kwa vile umewatengenezea mazingira ya kukung'ang'ania.Ungekuwa mkali wasingekuja.Kwani nzi huwa wanaenda mahali pasafi? si kwenye vidonda na maembe?
 
mpwa mpwaaaaaaaaaa! ha ha ha ha ah!KAMATA SENKSI!
niambie basi
KWANINI WAMEKUWA VING'ANG'ANIZI?

Tatizo uliwapakulia kile chakula kwa mtindo unaotakiwa kupakuliwa kwa wife peke yake. Wamenogewa!!!
 
Sijaelewa kama ulizaa nao au la? Kuzaa ndiyo nini? Nafikiri wewe huna msimamo from there, be careful itakuchanganya.
 
mbona mimi nawaambia kila siku waniache huru HAWATAKI?

unawaambia kivipi? kwa kuonana au kwenye fone?....na hawataki kivipi sasa mana ckuelewi, wewe una muda wa kueleweshana nao nini kwasasa kama sio wewe kutoa maamuzi kwao ya kuyafanyia kazi?
 
JAMANI JAMANI!
hawa mabinti hawaelewi kitu!woote wanasema WE OA TU!sisi nafasi yetu na iheshimike!habari ya kuwaacha nisahau!
nitaanza kuwanasa vibao sasa....!
 
UMESIKIKA love!
nitawamwaga so soon!
SINA MKATABA NA MTU SO FAR

SWALI:kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?????kwanini wanasema hata kama nikioa niendelee nao?????wakati mimi nimewaomba waniache?[/QUOTE]

Goeff wacha kutuchezea akili...hii ni nataka sitaki..mbona usiwaambie umewaacha na ukate mawasiliano nao kabisa????? eti unaomba wakuache ?????? mmmmm wewe haki ya nani huaminiki huyo wifi mbona matatani!🙄
 
ha ha ha ha!haya bwana
 
JAMANI JAMANI!
hawa mabinti hawaelewi kitu!woote wanasema WE OA TU!sisi nafasi yetu na iheshimike!habari ya kuwaacha nisahau!
nitaanza kuwanasa vibao sasa....!

Hahaha! Kama ni hivyo, whats the problem then? Umeshasahau umuhimu wa nyumba ndogo? I thought wanataka kukuwekea pingamizi. Kama ni hivyo mpwa we oa afu endelea kutoa huduma. Sioni tatizo hapo! Najua mabinti watanisonya hapa lakini mpwa utanigongea SENKSI! And you will mean it ofcourse!
 
senksi umekula!
NIPE MSIMAMO WAKO MPWAAAAAAAA
NIENDELEE AU NISIENDELEE?
 
sore ofu topiki,sijui umekosea jina hapa Bht? ni Geoff!
By the way naomba umpeleke kwa Nguli ili ajifunze kwa vitendo
ha ha ha ha!
niende kwa nani?................
 
senksi umekula!
NIPE MSIMAMO WAKO MPWAAAAAAAA
NIENDELEE AU NISIENDELEE?

Nomba nimsemee!mimi ndio yeye!
USIENDELEE PLZ,Ikiwezekana ukawatambulishe kwa my waifu wako ili awe mlinzi yeye mwenyewe.Utachoka muda si wako,unakwenda mileage za ziada ww zaidi ya Mungu alizokuumbia.
 
JAMANI JAMANI!
hawa mabinti hawaelewi kitu!woote wanasema WE OA TU!sisi nafasi yetu na iheshimike!habari ya kuwaacha nisahau!
nitaanza kuwanasa vibao sasa....!

sasa wewe ndio utachagua nani umpe nafac ya kuheshimika, hao wadada au mkeo....welcom to the club.
 
Nomba nimsemee!mimi ndio yeye!
USIENDELEE PLZ,Ikiwezekana ukawatambulishe kwa my waifu wako ili awe mlinzi yeye mwenyewe.Utachoka muda si wako,unakwenda mileage za ziada ww zaidi ya Mungu alizokuumbia.
haya mama!
let ''mzee himself'' talk.....!najua kwenye hili mtapishana
 
sore ofu topiki,sijui umekosea jina hapa Bht? ni Geoff!

Asante ZD I meant Goeff(sore off topic)

By the way naomba umpeleke kwa Nguli ili ajifunze kwa vitendo

mi namshangaaa hivi kwa nini usijifunze mazuri toka kwa rafiki yako mwema GOEFF!!!

Tutapanga kajisession akae na Nguli ili amsaidie
 
mi namshangaaa hivi kwa nini usijifunze mazuri toka kwa rafiki yako mwema GOEFF!!!

Tutapanga kajisession akae na Nguli ili amsaidie

ha ha ha ha!
kwa hiyo nijifunze kwa nguli????????!kwanin si x-pin,au kaizer,au fidel,au carmel,au sipo,au zd,au wewe bht,au Yo Yo,au invizibo?
 
Back
Top Bottom