Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
i am totally confused my people!
Kila nikiwaambia ''...jamani eeh,nimeamua kuoa leave me alone!..''wananitishia hata kuweka pingamizi kanisani.
Wanasisitiza ''wewe oa tu,lakini sisi tunaomba nafasi yetu iheshimikee!..''
jamani nisaidieni jamani...!niendelee nao au nisiendelee nao?
Nb:kuna vitu ambavyo huwa vinanishinda lakini sio kutunza siri jamani!(..i think i was born for this!).na wife hana analolijua kabisa kuhusu hili
nisaidieni wakuu
UMESIKIKA love!
nitawamwaga so soon!
SINA MKATABA NA MTU SO FAR
SWALI:kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?????kwanini wanasema hata kama nikioa niendelee nao?????wakati mimi nimewaomba waniache?
umesikika shemeji!
hawa nitawapiga chini
lakini kwanini wanakuwa ving'ang'anizi wakati nimewaambia NINAOA(seriously,and so soon!)
mpwa mpwaaaaaaaaaa! ha ha ha ha ah!KAMATA SENKSI!
niambie basi
KWANINI WAMEKUWA VING'ANG'ANIZI?
Mbombo ngafu na loli mnyambala! i kisu hiki!?mma KYALA Atutule fijo!mbombo ngafu
mbona mimi nawaambia kila siku waniache huru HAWATAKI?
jiweke huru mwenyewe kwanza joff...umejifunga I can say thatmbona mimi nawaambia kila siku waniache huru HAWATAKI?
UMESIKIKA love!
nitawamwaga so soon!
SINA MKATABA NA MTU SO FAR
SWALI:kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?????kwanini wanasema hata kama nikioa niendelee nao?????wakati mimi nimewaomba waniache?[/QUOTE]
Goeff wacha kutuchezea akili...hii ni nataka sitaki..mbona usiwaambie umewaacha na ukate mawasiliano nao kabisa????? eti unaomba wakuache ?????? mmmmm wewe haki ya nani huaminiki huyo wifi mbona matatani!🙄
ha ha ha ha!haya bwanaUMESIKIKA love!
nitawamwaga so soon!
SINA MKATABA NA MTU SO FAR
SWALI:kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?????kwanini wanasema hata kama nikioa niendelee nao?????wakati mimi nimewaomba waniache?[/QUOTE]
Goeff wacha kutuchezea akili...hii ni nataka sitaki..mbona usiwaambie umewaacha na ukate mawasiliano nao kabisa????? eti unaomba wakuache ?????? mmmmm wewe haki ya nani huaminiki huyo wifi mbona matatani!🙄
JAMANI JAMANI!
hawa mabinti hawaelewi kitu!woote wanasema WE OA TU!sisi nafasi yetu na iheshimike!habari ya kuwaacha nisahau!
nitaanza kuwanasa vibao sasa....!
senksi umekula!Hahaha! Kama ni hivyo, whats the problem then? Umeshasahau umuhimu wa nyumba ndogo? I thought wanataka kukuwekea pingamizi. Kama ni hivyo mpwa we oa afu endelea kutoa huduma. Sioni tatizo hapo! Najua mabinti watanisonya hapa lakini mpwa utanigongea SENKSI! And you will mean it ofcourse!
sore ofu topiki,sijui umekosea jina hapa Bht? ni Geoff!jiweke huru mwenyewe kwanza joff...umejifunga I can say that
senksi umekula!
NIPE MSIMAMO WAKO MPWAAAAAAAA
NIENDELEE AU NISIENDELEE?
JAMANI JAMANI!
hawa mabinti hawaelewi kitu!woote wanasema WE OA TU!sisi nafasi yetu na iheshimike!habari ya kuwaacha nisahau!
nitaanza kuwanasa vibao sasa....!
haya mama!Nomba nimsemee!mimi ndio yeye!
USIENDELEE PLZ,Ikiwezekana ukawatambulishe kwa my waifu wako ili awe mlinzi yeye mwenyewe.Utachoka muda si wako,unakwenda mileage za ziada ww zaidi ya Mungu alizokuumbia.
sore ofu topiki,sijui umekosea jina hapa Bht? ni Geoff!
Asante ZD I meant Goeff(sore off topic)
By the way naomba umpeleke kwa Nguli ili ajifunze kwa vitendo
mi namshangaaa hivi kwa nini usijifunze mazuri toka kwa rafiki yako mwema GOEFF!!!
Tutapanga kajisession akae na Nguli ili amsaidie