Kujitesa huko mi naona.....adhabuyake ndo hiyo kung'ang'niwa, ungekuwa na mmoja hayo yangekupata wapi??Nomba nimsemee!mimi ndio yeye!
USIENDELEE PLZ,Ikiwezekana ukawatambulishe kwa my waifu wako ili awe mlinzi yeye mwenyewe.Utachoka muda si wako,unakwenda mileage za ziada ww zaidi ya Mungu alizokuumbia.
kwa hiyo niachane nao?Kujitesa huko mi naona.....adhabuyake ndo hiyo kung'ang'niwa, ungekuwa na mmoja hayo yangekupata wapi??
seriously kuwa mbogo hapo vinginevyo utaitia ndoa yako changa dosari kubwa mno.
senksi umekula!
NIPE MSIMAMO WAKO MPWAAAAAAAA
NIENDELEE AU NISIENDELEE?
Je wewe bado unawa feel au vp?
kwa hiyo niachane nao?
au niendelee?
hujasomeka mpwa....
hahaha hawa mabinamu eti unagombana na mmeo unawaomba ushauri hahaha mnanichekesha nyieENDELEAAAAAA! Ila dada asijue!
Na mwana mkaidi hafaidi mpaka siku ya idi,Shaurilo shem,usije kutuwekea thread ya kuomba ushauri tena hapa.tutakurefer hii threadhutaki tu kunisoma mpwa na ni ukaidi wako huo siku zote.....nimesema kuwa mbogo (the animal u knw wat i mean)
Stooooooooooooooooooooop intertaining that nonesense oooooooooooh!!!
u have to have a session with Nguli
hahaha hawa mabinamu eti unagombana na mmeo unawaomba ushauri hahaha mnanichekesha nyie
haya endeleeni
Waweke pingamizi kanisani uliwaoa au umezaa nao?! Hujataka tu mpwa kuachia mfupa wa jirani wakati ng'ombe mzima unaye ndani
Hahaha! Kama ni hivyo, whats the problem then? Umeshasahau umuhimu wa nyumba ndogo? I thought wanataka kukuwekea pingamizi. Kama ni hivyo mpwa we oa afu endelea kutoa huduma. Sioni tatizo hapo! Najua mabinti watanisonya hapa lakini mpwa utanigongea SENKSI! And you will mean it ofcourse!
kazi za nje zinapaswa kuelewa kwamba sasa umeamua kufanya kazi uipendayo tena unataka kufanya kihalali,wakati mwingine ni lazima wengine waumie ili maisha ya wengine yakamilike,dunia ndivyo ilivyo.wanapaswa kufunga virago kutafuta mbuyu wa kuishi,ndo umeshaamua na liamuliwalo na moyo halitibiki kwa pingamizi,hata ukiamua kurudi mambo hayatokuwa sawa,ni mbele kwa mbele................ila kuwa makini kila mla kuku wa mwenzie miguu humuelekea...baadae ukiambiwa sasa ndoa imekwisha na wewe uelewe mapema!
he he he!
mama unataka ampige chini mwenzio ili wewe UKAVE NAFASI?