Marriage is not for everyone

Indeed this must be your father tongue not your mother as you said.Very sickening English.
 
Yaani una kingereza kizuri hivyo alafu unaachika
 
Namshukuru Mungu kwa kuendelea kunikirimia pumzi ya uhai na afya njema. Nina miaka 37 lakini jambo linalo nikosesha amani kila wakati ni watoto wangu watatu. Kila mmoja ana mama yake. Jamii yangu wakati mwingine hunichukulia kama mhuni hivi. Jambo hili huwa linaniumiza sana. Nafikiria issue ya kuoa haina maana tena. Wenzangu wenye hali kama hii mnaweza ku-handle mazingira kama hayo kwenye jamii zenu?


Back in September 25, 2022!

Kwanza tujue mke aliyekimbia ni mzazi wa mtoto mmoja kati ya hao au ulimuoa aje kulea watoto watatu uliozaa na wanawake tofauti?!
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka English kamenyooka.. Pole sana usikate tamaa huenda ukapata mwingine akakupa furaha zaidi.
 
I must clarify that while I confess to being the author of the aforementioned thread, it is not entirely accurate to say that I have three children. To be precise, I have two children, from different mothers. Furthermore, it is important to note that one of these children belongs to a divorced woman.

Allow me to explain the intention behind my actions. The reason I posted that thread was solely to solicit public opinions and gather diverse perspectives on a particular matter. You, know, Engaging in discussions with individuals who hold differing viewpoints can often lead to a more comprehensive understanding of a given topic.


It is crucial to understand that the intention behind soliciting public opinions was not to exploit or manipulate others but rather to foster a more informed and well-rounded understanding of the topic under discussion. By deliberately introducing certain details, I aimed to encourage a wider range of perspectives that would contribute to a more enriching and comprehensive debate.
That is that!
 
Nimejifunza vitu vingi sana Kaka. Na lengo la kupost uzi huo umeeleweka vizuri sana kaka. Kikubwa tu umtangulize Mungu akupatie hekima ya kuwalea watoto wako vizuri. Lakini pia usisahau kujiangalia mwenyewe kiafya na kiroho na kimwili.

May God bless you Brother.
 
Lazima nifafanue kwamba wakati ninakiri kuwa mwandishi wa thread iliyotajwa hapo juu, si sahihi kabisa kusema kwamba nina watoto watatu. Kwa usahihi, nina watoto wawili, kutoka kwa mama tofauti. Zaidi ya hayo, ni muhimu kutambua kwamba mmoja wa watoto hawa ni wa mwanamke aliyeachwa.

Niruhusu nieleze nia ya matendo yangu. Sababu niliyotuma uzi huo ilikuwa ni kutafuta maoni ya umma tu na kukusanya mitazamo tofauti juu ya jambo fulani. Unajua, Kushiriki katika majadiliano na watu ambao wana mitazamo tofauti mara nyingi kunaweza kusababisha uelewa mpana zaidi wa mada husika.

Ni muhimu kuelewa kwamba nia ya kutafuta maoni ya umma haikuwa kuwanyonya au kuwadanganya wengine bali kukuza uelewa wa kina wa mada inayojadiliwa. Kwa kuwasilisha maelezo fulani kimakusudi, nililenga kuhimiza mitazamo mipana zaidi ambayo ingechangia mjadala wenye manufaa zaidi na wa kina.
Hiyo ndiyo hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen,,,May you be blessed too!
 
Wanawake wa sasa shughuli kuondoka na vyombo vyote vya ndani baadae nakuanza majuto kutaka kurudi kumbe kishacherewa🤣🤣
 
Dah!....pole Sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…