Marriage is not for everyone

Word....
 
Haya Sasa wafuasi wa kataa NDOA
Mwamba katuwakilisha vyema kabisa

Back to topic
Bro pole Sana kwa mapito hayo yes ndoa sio ya Kila mtu though you learned it in a hard way, lakin huwezi mchagulia mwalimu njia ya kukufundishia

Kilichokutokea wewe sio wa kwanza na Wala sio wa mwisho na ni vice versa nadhani ushawahi sikia wanawake wanatelekezwaeee na waume zao na maisha yanaendelea but when it comes to a women leave her man and run away huwa inawaumaeeee poyeeee

I love the last statement kuhusu wanao MaashaAllah
Wekeza kwa wanao na mapenzi ya kweli pia yapo sana tu sema ulipata mtu ambae sio sahihi kwa wakati sahihi

Kuhusu Mshana Jr huyu baba mungu amuweke tu uhai mrefu he mean alot to me
 
Dah!... Ukweli mchungu huu
 
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Una underestimate nafasi ya bi mkubwa kwenye malezi
 
Time will heal bro...all is well in God...just be happy, pray hard and raise those kids to know God, God bless yo...
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Unaweza mtendea mwenzako ubaya Mungu hatosubiri siku ya mwisho. Malipo utaanza kuyapata bado upo hai.
 
Man this is a tough one, there are lots of coping strategies zinazoweza saidia kutoka hiyo hali but for me what is working is a combination of being in the present(and not focusing on the past), trying to be grateful and positive and choosing to live.

Stop listening to the unkind voices from the past, breathe deeply not shallowly, and focus on the people around you wale wanaokujali maana wapo wanaopenda uwe hivyo.

Whatever it is, youโ€™ll slowly start feeling stronger. Itโ€™s not an instantaneous transformation, but little by little, every day becomes less painful
 
Ushauri mzuri sana, azingatie hili pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ