Marriage is not for everyone

Marriage is not for everyone

mara zote ukitafuta mke hali hii hutokea..lakini ukikutanishwa na mke utaishi vizuri na mkeo/ mumeo..

wengi mnatafuta badala ya kukutanishwa......
bible imeweka wazi kabisa kwa si kila mtu ni wa kuoa au kuolewa...

.NB: mke kukimbia na vitu vya ndani na kuacha watoto wake alowazaa...inafikirisha..
leo unajuta na kuumia lakini yawezekana huko nyuma kabla hajatimka ulikuwa baba na sio mume.....
Word....
 
Haya Sasa wafuasi wa kataa NDOA
Mwamba katuwakilisha vyema kabisa

Back to topic
Bro pole Sana kwa mapito hayo yes ndoa sio ya Kila mtu though you learned it in a hard way, lakin huwezi mchagulia mwalimu njia ya kukufundishia

Kilichokutokea wewe sio wa kwanza na Wala sio wa mwisho na ni vice versa nadhani ushawahi sikia wanawake wanatelekezwaeee na waume zao na maisha yanaendelea but when it comes to a women leave her man and run away huwa inawaumaeeee poyeeee

I love the last statement kuhusu wanao MaashaAllah
Wekeza kwa wanao na mapenzi ya kweli pia yapo sana tu sema ulipata mtu ambae sio sahihi kwa wakati sahihi

Kuhusu Mshana Jr huyu baba mungu amuweke tu uhai mrefu he mean alot to me
 
Ifike mahali watu watambue kua ndoa sio drama,fashen wala jambo la mzaha.
Linapokuja swala la ndoa unatakiwa kutuliza akili na kumuuliza Mungu.

Sio kukurupuka na kufanya mambo ilimradi kisa umri unaenda, kisa nimempata mwenye pesa, mwenye shepu au kisa wenzangu wote wameoa na kuolewa.

Wengi mnakurupuka bila kufikiri wala kumhusisha Mungu, Mambo yakienda ndivyo sivyo mnaanza kusema kama mnavyosema.

Kila mtu amepangiwa mtu wake "wa kufanana nae" ila utulivu ndio sifuri.

"If you're interested in someone, pray first. Stop throwing your self out there only to be hurt when you realize it's wasn't God's will"
Dah!... Ukweli mchungu huu
 
Haya Sasa wafuasi wa kataa NDOA
Mwamba katuwakilisha vyema kabisa

Back to topic
Bro pole Sana kwa mapito hayo yes ndoa sio ya Kila mtu though you learned it in a hard way, lakin huwezi mchagulia mwalimu njia ya kukufundishia

Kilichokutokea wewe sio wa kwanza na Wala sio wa mwisho na ni vice versa nadhani ushawahi sikia wanawake wanatelekezwaeee na waume zao na maisha yanaendelea but when it comes to a women leave her man and run away huwa inawaumaeeee poyeeee

I love the last statement kuhusu wanao MaashaAllah
Wekeza kwa wanao na mapenzi ya kweli pia yapo sana tu sema ulipata mtu ambae sio sahihi kwa wakati sahihi

Kuhusu Mshana Jr huyu baba mungu amuweke tu uhai mrefu he mean alot to me
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtume Paulo hakuoa , hakuhitaji mahusiano yeyote, Yeye aliweka lengo lake moja tu " Kuhubiri Injili ya Yesu Kristo" , so aliamua kufanya kila liwezalo Ili atimize kusudi, aliandika katika Waraka wake kuwa aliona mahusiano kana kwamba yatampunguzia kasi .

Tuje kwa jamaa, ana watoto, hawa Kwa sasa sidhani wanahitaji mama mpya, wanamhitaji awe provider na kuwasaidia kutimiza kusudi la wao kuwepo. Mahusiano na wanawake wengine yanaweza mpunguzia kasi ya kuwalea watoto wake na hivyo baadhi ya wanawake sio wema, wanaweza watesa watoto hao. Kwasasa awalee mpaka wakomae kiakili kabisa wakijua mema na mabaya ndipo ataamua.

Aweke kusudi la kuhakikisha watoto wake hasahasa wa kike hawapungukiwi na chochote. Asilimia kubwa ya watoto waliolelewa na mama wa kambo huwaga na ukatili fulani hasahasa wa kike na kwa hali hii ya sasa ya KATAA ndoa anaweza tiwa mimba akaachwa kwasababu ya tabia ambayo itapandwa na mama yake wa kambo ya ukatili na hakuna mwanaume wa Kiafrika anaweza vumilia hilo hasahasa wa sasahivi.

Kusudi liwe kulea mpaka wapate akili.

Una underestimate nafasi ya bi mkubwa kwenye malezi
 
Time will heal bro...all is well in God...just be happy, pray hard and raise those kids to know God, God bless yo...
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Unaweza mtendea mwenzako ubaya Mungu hatosubiri siku ya mwisho. Malipo utaanza kuyapata bado upo hai.
 
Man this is a tough one, there are lots of coping strategies zinazoweza saidia kutoka hiyo hali but for me what is working is a combination of being in the present(and not focusing on the past), trying to be grateful and positive and choosing to live.

Stop listening to the unkind voices from the past, breathe deeply not shallowly, and focus on the people around you wale wanaokujali maana wapo wanaopenda uwe hivyo.

Whatever it is, you’ll slowly start feeling stronger. It’s not an instantaneous transformation, but little by little, every day becomes less painful
 
Bro kwanza pole kwa uliyoyapitia.
Pili kama inawezekana usitafute relationship kwasasa labda kama unataka uongeze watoto, uwe kama Mtume Paulo tu na ulee watoto, wafundishe maadili na kumpenda Mungu sana.

Lastly kama una nia kutafuta uhusiano mpya mshirikishe Mungu kwanza atakupa jibu sahihi kuliko majibu utakayopata hapa .
Ushauri mzuri sana, azingatie hili pia
 
Back
Top Bottom