Married But Available itanimaliza ,ushauri wenu wadau....

Married But Available itanimaliza ,ushauri wenu wadau....

..... Loneliness is very bad. Upweke nadhani ni girisi shetani anayotumiaga kutulainisha tuingie dhambini.

Yaani unaikanyaga unateleza fwiiiiiiiiii ukija kustuka, you are in so deep. Kwako unapataka na huku ulipojiingiza full kunoga.

It's easy kuwanyooshea vidole hawa akina mama na kusema ni pepo wa ngono.... ama walikuwa wanatafuta sababu ya kuwa mbali na waume zao ili wafanye uzinzi. But its not true.

Tunarudi pale pa kuepusha mitego shetani anayoweka.... Na kuuepuka upweke. Wanandoa wazidishe ukaribu hasa wanapokuwa mbali. Video chat, visit each other as often as possible..... And pray hard.

Binafsi nikimuona mtu afu niskie mapigo ya moyo kama yameshtuka afu yanataka kupiga ka beat flani ka trap huwa nasema fasta "Auzubillah"

😎😎
 
Na mkewe pia kule anakwanguliwa vilevile. Hii wazee Wa kubet tunaita BOTH TEAM TO SCORE AND GOALS OVER 3.5 ....
Inatia uchungu sana kugongewa aisee... lakini nafikiria kama nikiacha kuchoronga huku bado mke wangu anaweza kuwa anachorongwa na wanaume wa Dar....kwa hiyo huwa inabidi niendelee kumgonga kwa hasira tu
 
Ni kweli kabisa mkuu wife wako naye huku Dar anakung'utwa tena kushinda hata wewe unavyokula wa mwenzio

Ninavyoona haya mambo huku Dom napata hasira sana....yaani naona kabisa nat...ombewa mke wangu...ila sababu sina jinsi na huyu mwanamke namkaza hasa...ila namtafuta huyo mbaya wangu wa udi na uvumba...kuna mitego nimeshaanza kuiweka...mtasikia
 
..... Loneliness is very bad. Upweke nadhani ni girisi shetani anayotumiaga kutulainisha tuingie dhambini.

Yaani unaikanyaga unateleza fwiiiiiiiiii ukija kustuka, you are in so deep. Kwako unapataka na huku ulipojiingiza full kunoga.

It's easy kuwanyooshea vidole hawa akina mama na kusema ni pepo wa ngono.... ama walikuwa wanatafuta sababu ya kuwa mbali na waume zao ili wafanye uzinzi. But its not true.

Tunarudi pale pa kuepusha mitego shetani anayoweka.... Na kuuepuka upweke. Wanandoa wazidishe ukaribu hasa wanapokuwa mbali. Video chat, visit each other as often as possible..... And pray hard.

Binafsi nikimuona mtu afu niskie mapigo ya moyo kama yameshtuka afu yanataka kupiga ka beat flani ka trap huwa nasema fasta "Auzubillah"

😎😎
in theory yes but not in practice
 
Dah...haya mambo ya kuhamishiwa mkoani Dom huku familia zetu tumeziacha Dar , yana changamoto sana...yaani hii kauli ya 'ofcourse I am married but some how available' nimeshakutana nayo zaidi ya mara tatu tangu nihamie Dodoma ni toka kwa akina mama/wanawake wenye ndoa zao lakini wamehamishiwa Dom na kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu wengi , wenzetu tumewaacha kule Dar....Sasa hasa tukiwa kwenye maeneo ya burudani tukishaweka mambo kichwani basi ishu hii inaonekana ya kawaida sana,...sasa nimenasa kwa huyu mama mmoja lakini naona tunakoelekea kubaya manake ameanza kujisahau..mwanzoni tulikuwa tunafanya siri sasa huwa anaaniita kwenye maeneo ya wazi wala hajali kihivyo sasa hata live dansi tunaselebuka wote jukwaani ,nikiamka asubuhi pombe zimeisha kichwani huwa najuta kila mara..lakini kesho yake moto ni ule ule.. ..na nimegundua hiyo kampani yake nao ni walewale wote wanaibiana...Sasa tumefikia hatua ya kuongozana kwenye gari yake au yangu tukiwa tunakwenda kuziona familia zetu kule Dar pamoja na kurudi Dom,...na mara nyingi huwa anaongea na mmewe kwa mahaba ya dhati wakati tukiwa faragha nk......Huyu mke wa mtu (ana watoto watatu) nashindwa kumchomoka kwa sababu kuna mambo yangu flani anayashughulikia na yeye ni bosi kule aliko kwa hiyo nakuwa mpole kwa sasa....sasa nina kibarua cha kumfanya awe na furaha hasa baada ya kazi, nahisi nimekuwa mtumwa ila mahaba yake si haba kwa kweli...Hii inanifikirisha zaidi kuwa hata wife naye kule Dar naye huenda akawa hivihivi ...Naombeni ushauri wadau kama nichomoke au niendelee kuwa mpole kwanza?
Pombe haijawai kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom