Kenya 2022 Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga

Kenya 2022 Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga

Kenya 2022 General Election
Africa hakuna huo ujinga unaousema? Hizo hela za Odinga na za kina Martha zote ni wizi tu wa mali za umma....... Africa hakuna huo ujinga unaousema
Martha ana Hela Gani??? Ni middle class tu sio billionaire kma majizi kina Gachagua na Ruto!!!

Odinga amekulia amekuta kuna Hela, Babake Odinga yaani Mzee Jaramogi alikua na Hela kabla hata ya uhuru wa Kenya sasa kivipi kazipata kwenye siasa?

Bado tuna watu wasafi Afrika na mmoja wapo ni Martha Karua.....Mafisadi wakisikia jina lake wanajificha chini ya uvungu.
 
Oooh ok,
Lakini kama hakuna siasa za kidini basi wangetawala wote dini hii na dini hii,
Lakini dini moja tu inatawala miaka yote huo sio udini?
Hapa nazungumzia nafasi tatu za juu
Tatizo wengi Wana asili ya usomali so kupewa madaraka ya Urais Inakua changamoto kidogo ila hata Katibu Mkuu wa chama Cha Odinga na Kenyatta yaani Azimio ni Muislam.
Katibu Mkuu wa chama Cha Musyoka yaani Bi Shakila ni Muislam.
Naibu kiongozi wa chama Cha ODM ni Muislam.
Aden Duale alikua Majority Leader Bungeni.
Jiji la Nairobi lipo chini ya Gen.Mohamed Badi ni Muislam
Waziri wa Uchumi ni Muislam n.k

So nadhani usomali wao ndio changamoto ila kwenye siasa wapo wengi sana top positions.
 
Martha ana Hela Gani??? Ni middle class tu sio billionaire kma majizi kina Gachagua na Ruto!!!

Odinga amekulia amekuta kuna Hela, Babake Odinga yaani Mzee Jaramogi alikua na Hela kabla hata ya uhuru wa Kenya sasa kivipi kazipata kwenye siasa?

Bado tuna watu wasafi Afrika na mmoja wapo ni Martha Karua.....Mafisadi wakisikia jina lake wanajificha chini ya uvungu.
Anaweza akaja akawa magufuli wa kenya ila yeye wa kike
 
Naona kweli ulikuja Kenya. Ni kweli Karua akichukua msimamo habanduki hata kwa mtutu wa bunduki. Ila siasa ndio hivyo, Odinga na huyu Karua sasa ni marafiki na siasa haina uadui wa milele ina uadui wa muda mfupi tu. Ila pole kusikia kwamba Karua kamtukana Mkapa. Mkapa alikuwa mzee mzuri.
Nadhani urafiki wa Raila na Karua ni wa siku nyingi.Enzi Raila anakwaruzana na Baba Moi, Karua ni mmoja wa legal team iliyo mtetea Raila. Kwa vyovyote vile Raila has made the right choice kumchagua Karua -iron lady.
 
Karua amewasha moto KOT, wananchi wana rap siyo kawaida.

(baba anahitaji) 20% but Martha na kiherehere yake anataka kupea baba 90%(kikuyu vote)🙂🙂🙂
 
not likely but it's a "aim for the stars land on the moon" type of thing
Kwa vyote vyote vile Martha ameongeza hamasa kampeni ya Azimio. Further she is talking tough kama kawaida- kenya kwanza mujiandae kupongeza Azimio kwa ushindi . Lazima tutashinda!
 
Kenyans msipeane na ruto mtasafa, ruto ni fisadi atakula Kenya yote ni mtu wa visasi, peana na Odinga na martha
 
Back
Top Bottom