Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

wewe bado hujawajua wanawake vizuri.
 
Kwani ameomba msamaha?
Au tunaleta kimbelembele tukidhani tunapata point.
 
Naelewa na ndio maana nkaeka mwishoni kuwa hata mfalme daudi alianguka zaidi yake lakini cha kwanza alichokifanya ni kukubali kueka kichwa chini na si kutafuta mtu wa kumuhurumia..

Hakuna mkamilifu ndo maana kuna kuomba toba
Sio wote wanaoweza kuwa strong kwa changamoto zinawapata hata kama ni wakiroho kiasi gani hata yesu mwenyewe kunawakati aliona ngoma nzito akaomba kikombe kimuepuke.
 
Kwani ameomba msamaha?
Au tunaleta kimbelembele tukidhani tunapata point.
Usiwe unasoma ili UJIBU.. jaribu kuwa UNAELEWA mara nyingine ITAKUSAIDIA
 
Naelewa na ndio maana nkaeka mwishoni kuwa hata mfalme daudi alianguka zaidi yake lakini cha kwanza alichokifanya ni kukubali kueka kichwa chini na si kutafuta mtu wa kumuhurumia..

Hakuna mkamilifu ndo maana kuna kuomba toba
Kutafuta huruma si dhambi wala kosa..
 
Usiwe unasoma ili UJIBU.. jaribu kuwa UNAELEWA mara nyingine ITAKUSAIDIA
Ulichoandika ungekisoma kabla hujaposti ungejicheka na kuahirisha kupost.
Ni kama umejiambia mwenyewe!
Usiishie kunisoma bali nielewe!!
 
Lakini ni kosa pale unapokuwa unaweka lawama zote kwa mtu mwingine ili wewe uhurumiwe kana kwamba hujachangia kwa namna yoyote ile kwa ulipofikia...
Lets agree to disagree mkuu
Ooouk cheers, lakin pia Hizi mambo zinachangamoto sana na pale mtu anapoanza kuimba kwa ajili ya kuuza album sio utume tena.. Ndo lazima utue mikononi mwa wapiga dili.
 
Kama aliamini anachokiimba angekubali arudi kwenye umaskini ila amche Mungu. Rose ameanzana na huyo Nathan tangu mwanzo mpaka kanisa likamtenga. That was in 99 au kabla, sasa iweje leo ndo ajitambue.
 
Hii stori haina ukweli, haingii akilini hata kidogo au niambiwe Rose ni mtu asiejielewa toka mwanzo.
1 Anapigishwa show za kinyonyaji yeye alichuka hatua gani
2 Analazimishwa kunywa pombe na yeye anakunywa.
3 Analazimishwa ngono na meneja, anabakwa ama inalazimishwa vipi?

Hayo yote hayawezi kufanyika kwa mtu anaejielewa. Labada Rose alikuwa hajielewi tangu mwanzo.
 
Nimesoma haya maelezo kuna nusu ya ukweli na Nusu ya chumvi.!
Binafsi ni muandaaji wa Matamasha haya ya muziki wa injili. Nimeanza kufanya kazi na Rose mwaka 2007.
Akiwa chini ya Nathan, na bila shaka Nathan ndio meneja pekee Rose aliyewahi kuwa naye.!
Nathan alimuwezesha Rose kuwa na maendeleo kadhaa, Nathan aliweza kumsaidia Rose kumiliki magari kadhaa ikiwemo Rav 4 ya blue gari yake ya kwanza kisha baadae prado .alimuwezesha kuwa na makazi yake pale ipagala.!
Rose alipoamua kuachana na Nathan kwa sabbu anazozijua yeye aliangukia kwenye mikono ya watu kadhaa, mbona haujaeleza habari za yule meneje mchungaji Fake aliye mnyang'anya passport na gari zake?
Wakati akienda marekani?
Rose kaanza kupotea hewani baada ya kuondoka kwenye mikono ya Nathan hakujua tena upepo wa umaarufu wake unampeleka wapi. Hakuwa na Nguzo imara tena kwa kazi zake.!
Baada ya kuachwa huru na Nathani kila mtu alikuwa anajipigia je amekueleza kuhusu wale vijana aliokuwa anaambatana nao pale Dodoma?

Mimi binafsi Rose Muhando keshakula pesa yangu nyingi tu, na wala sio Nathan, kuna watu amewaumiza zaidi ya unavyoweza kuleta hayo maelezo ya Martna. Isingekuwa muziki wa Injili natumai angekuwa amefanyiwa kitu kibaya sana!
Mara ya mwisho nimemtafuta Rose mwezi huu tarehe 13 . Kupitia kwa Producer wangu na akatoa maelezo kuwa kazi yoyote atakayopaswa kuifanya ipitie kwa Meneja wake Nathan.

Hii ikiwa kabla ya video ya Nairobi haijaanza kusambaa mitandaoni.

Mwisho. Rose Mhando bado ana nafasi ya kufanya vizuri zaidi kama atampata mtu sahihi wa kumsimamia Kiafya, na kazi zake kwa ujumla.
Usione vinaelea vimeundwa bila Nathani usingemfahamu Rose mhando.
 
Kama aliamini anachokiimba angekubali arudi kwenye umaskini ila amche Mungu. Rose ameanzana na huyo Nathan tangu mwanzo mpaka kanisa likamtenga. That was in 99 au kabla, sasa iweje leo ndo ajitambue.
Hiki ndicho nilikuwa nakisema...
Rose akubali kuwa aliteleza tu ili afunguliwe yaishe. Hata adam aliadhibiwa kwa tunda alilopewa na mkewe hivyo Nathan na Rose wote wamechangia hali kuwa ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…