Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

SIO kweli.

Ni kweli kabisa Nathan alikuwa Menaja wake.

Kama ni hivyo amewezaje kuwa magari mengi na majumba? Kama sio mafanikio kutoka kwa meneja wake?
.
Rose alishiba kiburi.

Tunaomjua Rose hakuwa ameokoka.

Unajua wakati yupo kwaya ya Chimuli Rose Mhando alikuwa anafanya kazi za house girl?

Alipoinuka Kimusiki hakukumbuka alipo toka.

Hata kanisa alilokuwa anasali alikuja kuhama.

Huyu Nathan watu wanamchukulia poa tu. Ni matajiri wa kutisha hapa dodoma. Hapa dodoma ukisema unapesa unajiita mimi ni maluganji. Mwaluganji ni baba yake Nathan ambaye wakati huo alikuwa ni mtu tajiri sana. sasa Nathan si mtu wa kumdhurumu Rose Mhando.

Mwaipaja msiteteane kwa ujinga ujinga. Bila Msama na hawa akina Nathani wahindi wangewafanya vibaya sana. Wakina Nathani na kina Msama wamejitolea kuwatoa katika makucha ya wahindi wa kariakoo leo mnasema walikuwa wanawaibia.

Tutawasikia sana mkiweweseka. Rose maisha haya kwenda kombo na kutumia dawa au pombe au kufirisika yalianza muda mrefu sana Je wewe Mwaipaja ulimsaidia nini?

Wengi wenu mlikuwa mkimkwepa ili msije mkafananishwa naye leo mnajifanya mtetezi wake shame!

Rose Mhando yaliyomkuta yamemkuta atarejea tena kwa nguvu mpya na ujasiri wa Bwana.

Mwaipaja umefanya kosa kubwa kutaja hadhalani mambo ya mtu binafsi (Personal) wewe ni nani?. Wewe ya kwako ni yapi? Tunajua waimbaji wa Injili maarufu wengi wenu mmeachika na waliobaki ndoa zao ziko hoi kabisa.
Kwa hiyo kua tajiri ndio hawezi kudhulumu? utajiri wake unajua kaupataje?
Alikua house girl so what? house girl ni kazi kama zingine na kupitia kipaji chake ndio maana akanyanyuka, kanisa alilihama ndio nini sasa, blah blah blah.

Haifuti the fact kua alikua anatumiwa na kuharibiwa maisha yake.
 
Hii stori haina ukweli, haingii akilini hata kidogo au niambiwe Rose ni mtu asiejielewa toka mwanzo.
1 Anapigishwa show za kinyonyaji yeye alichuka hatua gani
2 Analazimishwa kunywa pombe na yeye anakunywa.
3 Analazimishwa ngono na meneja, anabakwa ama inalazimishwa vipi?

Hayo yote hayawezi kufanyika kwa mtu anaejielewa. Labada Rose alikuwa hajielewi tangu mwanzo.

Hujawahi kupitia hizi changamotono waulize hayo maswali wanawake wasomi wa vyuo wanavyodaiwa ngono kwa ajili ya masomo ndio utaelewa vizuri hizi changamoto
 
hili la Kunyoshewa bastola niliwahi kusikia miaka 2.5 iliyopita japo mtoa habari Bahati Buku.. alielezea kuwa Msama ndiye aliyemtishia
 
Kwa hiyo kua tajiri ndio hawezi kudhulumu? utajiri wake unajua kaupataje?
Alikua house girl so what? house girl ni kazi kama zingine na kupitia kipaji chake ndio maana akanyanyuka, kanisa alilihama ndio nini sasa, blah blah blah.

Haifuti the fact kua alikua anatumiwa na kuharibiwa maisha yake.

Ulikuwa ukimfahamu Rose Mhando?

Unaweza kumdhurumu Rose Mhando?

Rose Mhando hakuwa wa kuonewa kuonewa. Ni Mwanamke shupavu yule.
 
Ulikuwa ukimfahamu Rose Mhando?

Unaweza kumdhurumu Rose Mhando?

Rose Mhando hakuwa wa kuonewa kuonewa. Ni Mwanamke shupavu yule.
Yes namfahamu Rose,

Sijawahi kumdhulumu katika maisha yangu,

Ushupavu wake haujafua dafu mbele ya huyo mnyonyaji Nathan ndio maana akamuingiza kwenye madawa ili amnyonye vizuri.
 
Hii post iwekwe pia jukwaa la sheria halafu watu kama hao wanawaingiza wenzao kwenye ulevi na baadae madawa ya kulevya. Wakihafifisha vita dhidi ya madawa ya kulevya ya mtukufu Rais na kupunguza kasi ya uchumi wa kati na viwanda. SHERIA ICHUKUE MKONDI
Pia haki za msingi za msanii kudhulumu na kumtumia kwa manufaa
Lkn pia kusimama upande wa ibilisi na shetwan na kuongoza wengi kuwa wafuasi wake
NB Je maelezo hayo si ushahidi tosha kwa Jamhuri kuchukua hatua?
Je Jf sheria haina kitengo cha kusaidia mhusika ambaye yuko hali ya kutoweza kujisaidia kwa kuwa akili yake imevurugwa?
Hearsay
 
Yes namfahamu Rose,

Sijawahi kumdhulumu katika maisha yangu,

Ushupavu wake haujafua dafu mbele ya huyo mnyonyaji Nathan ndio maana akamuingiza kwenye madawa ili amnyonye vizuri.

Hiyo ni jinai una ushahidi kwamba huyo jamaa alimpa huyo mwanamke madawa ya kulevya (majina nimeficha kimaadili tu).
 
Yeye huyo Rose alikuwa msukule kwamba kila anacho fanyishwa na Nathan ni Tawire baba ?
 
Na Ndiyo muwe mashahidi na 2 na 3
Ni lazima mashahidi wawe zaidi ya mmoja? maana muhusika ndio kishasema mimi ni nani hadi nikatae unless useme Rose sio teja wala hajawahi kuvuta madawa.
 
Mjinga anamteta mjinga mwenzake kwa Ujinga alofanya kwa kumtupia lawama zote Meneja mjinga....

Wote wajinga kabisa.....!!!
 
Duh! kweli inasikitisha sna pale ukiona aliyewakomboa baadhi ya watu kumrudia Muumba kwa njia za nyimbo za kumsifu Mungu.....anapojikwaaa na yeye kumrudia shetani. Kikubwa ni kumwombea na wala siyo kumhukumu kwa sasa kwani wote tunaweza kujikuta katika madhaifu haya.
 
Back
Top Bottom