Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kwa hiyo kua tajiri ndio hawezi kudhulumu? utajiri wake unajua kaupataje?SIO kweli.
Ni kweli kabisa Nathan alikuwa Menaja wake.
Kama ni hivyo amewezaje kuwa magari mengi na majumba? Kama sio mafanikio kutoka kwa meneja wake?
.
Rose alishiba kiburi.
Tunaomjua Rose hakuwa ameokoka.
Unajua wakati yupo kwaya ya Chimuli Rose Mhando alikuwa anafanya kazi za house girl?
Alipoinuka Kimusiki hakukumbuka alipo toka.
Hata kanisa alilokuwa anasali alikuja kuhama.
Huyu Nathan watu wanamchukulia poa tu. Ni matajiri wa kutisha hapa dodoma. Hapa dodoma ukisema unapesa unajiita mimi ni maluganji. Mwaluganji ni baba yake Nathan ambaye wakati huo alikuwa ni mtu tajiri sana. sasa Nathan si mtu wa kumdhurumu Rose Mhando.
Mwaipaja msiteteane kwa ujinga ujinga. Bila Msama na hawa akina Nathani wahindi wangewafanya vibaya sana. Wakina Nathani na kina Msama wamejitolea kuwatoa katika makucha ya wahindi wa kariakoo leo mnasema walikuwa wanawaibia.
Tutawasikia sana mkiweweseka. Rose maisha haya kwenda kombo na kutumia dawa au pombe au kufirisika yalianza muda mrefu sana Je wewe Mwaipaja ulimsaidia nini?
Wengi wenu mlikuwa mkimkwepa ili msije mkafananishwa naye leo mnajifanya mtetezi wake shame!
Rose Mhando yaliyomkuta yamemkuta atarejea tena kwa nguvu mpya na ujasiri wa Bwana.
Mwaipaja umefanya kosa kubwa kutaja hadhalani mambo ya mtu binafsi (Personal) wewe ni nani?. Wewe ya kwako ni yapi? Tunajua waimbaji wa Injili maarufu wengi wenu mmeachika na waliobaki ndoa zao ziko hoi kabisa.
Alikua house girl so what? house girl ni kazi kama zingine na kupitia kipaji chake ndio maana akanyanyuka, kanisa alilihama ndio nini sasa, blah blah blah.
Haifuti the fact kua alikua anatumiwa na kuharibiwa maisha yake.