Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

Kwa hiyo wewe unaewajua unataka kututhibitishia kua Rose hatumii madawa?
Anatumia!Kuna wakati fulani mudaa sana Kuna uzi nlichangia nkasema Rose nmemuona mahali kona ambazo syo na yuko kwenye muonekano wa kutumia madawa!
Nakumbuka nliambuliaa kejeli!
Ila kwa watu fulani nnaowajua na ambao wako ktk situation hyo wengi wao walikuwa wanasema R anatumia!
Kuhusu kumsaidia R kama mdau anavyosema
Kwanza akae naye chini azungumze naye maana kuacha madawa Yutaka moyo
Yaani ufanye jambo hilo kwa kutoka moyoni

Ova
 
Sure! She is always the Queen of Gospel Music all over East central and southern African countries.!

Lets Join hand together and see how we can help her.plz can someone come out with an idea..?
 
Sure! She is always the Queen of Gospel Music all over East central and southern African countries.!

Lets Join hand together and see how we can help her.plz can someone come out with an idea..?
Kuacha madawa kwanza lazima yeye mwenyewe atake kuyaacha......huwezi mlazimisha au kutumia nguvu au kumlazimisha yeye Rose aache madawa
Lazima yeye kwanza ajitambue afahamu madawa syo kitu Kizuri kwake
Yeye akikiri kutoka moyoni yeye kama yeye
Ata acha tena hakuna haja ya yeye

Sababu iliyomfanya kujingiza kwenye madawa kama anaitambua hyo hyo itamtoa huko kwenye madawa pia!

Mawe za mchkua mkapeleka kwenye rehab etc ahh kumbe moyoni wala Hana mpango wa kuyaacha madawa.....

Madawa kuyaacha lazima uvumilieee maumivu ila kama kwli una Nia unaweza yaacha mbna watu Vijana kibao najua wameacha lkn wenyewe walikuwa na Nia ya kutoka huko

Ova
 
Nathan acha wizi, rudisha pesa ya Rose
 
Mkuu, huyu mchungaji fake ni nani? Sioni haja ya kuwaficha hawa wanaodidimiza vipaji vya watu.
 
ooh..sembe inauzwa kwa mtindo wa matamasha?
 
Hii ndio tabu ya kuzifanya biashara nyimbo za Injili. Hao wanaojiita mameneja ni matapeli wakubwa. Bora Rose angebaki kumwambia Bwana kanisani. Mambo yanaharibika anapoingia myama fedha.
 
Mtu anaye lipwa laki 3, per show " amemjengea mpenzi wake nyumba"!!!? Yote nimeyakubali '' lakini kwa hili naomba huyo martha mwaipaja atutake radhi kwenye line ya sentensi hiyo katu nywesha chai "... otherwise atengue kauli yake inayosema kwamba rose alikuwa analipwa laki' 3 per show"... mtu aliyekuwa analipwa laki 3 huku anafanya Show's na dancer's achilia mbali maisha ya gharama anayo yaishi kutokana na u-star wake" Uwezo wa- kumjengea mtu nyumba" ana utoa wapi "!!? Au nyumba ya nyasi "...!!!!?

Kumbe hayo mambo yenu mnayojifanya kumuimbia yesu ndio yamejaa ufuska kiasi hicho eeh"!!!, huyo msama sindiye anaye andaaga ma-concert ya Injili huyo".... Mamaee ", sasa nimeshajua huwa mnatukataza tusifanye hayo matendo mliyo yapachika jina la dhambi ili mbaki wa chache mnaoufaidi utamu wake"...... Kuanzia Leo na mimi", ni ufuska kwa kwenda"....

Haiwezekani mjifanye wema machoni kwetu " kumbe nyoyo zenu zimejaa laana kuliko hata moyo wa shetani
 
Kwa jinsi hii hata huyo Nathan asitegemee kufika mbali kwa pesa za zuluma...
Sasa afike mbali mara ngapi mkuu" tangu amuibue rose nakuwa famous mpaka leo ni zaidi ya miaka 12 now ... kamtumia kujiingizia pesa mpaka basi" Au una maanisha kwamba ipo siku ataporomoka!!? Ukisema hivyo sawa tutakuelewa
 
Kama aliamini anachokiimba angekubali arudi kwenye umaskini ila amche Mungu. Rose ameanzana na huyo Nathan tangu mwanzo mpaka kanisa likamtenga. That was in 99 au kabla, sasa iweje leo ndo ajitambue.
Anatafuta sympathy mkuu"... mtu kaliwa zaidi ya miaka 10 now "... eti leo ndio anajifanya kutambua kuwa jamaa alikuwa anamtumia My foot"... My foot waweza kukuta jamaa amefilisika so rose anatafuta chance ya kumkimbia mazima"... wanawake hawajawahi kuishiwa visa
 
Hahaa mtu anayelipwa laki 3 per show " kamjengea mpenzi wake Nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…