Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

Natumai utakuwa umeshamaliza povu lako,!
Kama una hakika na unachokisema kuwa wamehusika kumporomosha si angeinuka basi mwingine ambaye hawezi kumporomosha? Mbona mnakuwa wepesi wa lawama zaidi ya kufuatilia ukweli?
Nimesema pale juu, sehemu ya shughuli zangu imehusika na hawa watu hivyo imenipa nafasi kuwafahamu zaidi ya watu wengine.!!
Nawewe je umefanya nao kazi hivyo unafahamu lolote zaidi yangu?
Je unafahamu waimbaji wangapi wa gospel. Wa kike wanaotamani kujulikana leo.? Na huko chini wanafanya ama kufanyishwa nini?

Kama una Uchungu sana leta namna unayoiona kuwa bora ya wazo lako tuweze msaidia Rose sio unakuja na povu kujifanya wewe ndiye mwenye akili zaidi.
Hakuna cha povu wala nini, mbona wewe hujaongelea upande wa pili umeongelea upande mmoja tu wa rose
 
Nimesoma haya maelezo kuna nusu ya ukweli na Nusu ya chumvi.!
Binafsi ni muandaaji wa Matamasha haya ya muziki wa injili. Nimeanza kufanya kazi na Rose mwaka 2007.
Akiwa chini ya Nathan, na bila shaka Nathan ndio meneja pekee Rose aliyewahi kuwa naye.!
Nathan alimuwezesha Rose kuwa na maendeleo kadhaa, Nathan aliweza kumsaidia Rose kumiliki magari kadhaa ikiwemo Rav 4 ya blue gari yake ya kwanza kisha baadae prado .alimuwezesha kuwa na makazi yake pale ipagala.!
Rose alipoamua kuachana na Nathan kwa sabbu anazozijua yeye aliangukia kwenye mikono ya watu kadhaa, mbona haujaeleza habari za yule meneje mchungaji Fake aliye mnyang'anya passport na gari zake?
Wakati akienda marekani?
Rose kaanza kupotea hewani baada ya kuondoka kwenye mikono ya Nathan hakujua tena upepo wa umaarufu wake unampeleka wapi. Hakuwa na Nguzo imara tena kwa kazi zake.!
Baada ya kuachwa huru na Nathani kila mtu alikuwa anajipigia je amekueleza kuhusu wale vijana aliokuwa anaambatana nao pale Dodoma?

Mimi binafsi Rose Muhando keshakula pesa yangu nyingi tu, na wala sio Nathan, kuna watu amewaumiza zaidi ya unavyoweza kuleta hayo maelezo ya Martna. Isingekuwa muziki wa Injili natumai angekuwa amefanyiwa kitu kibaya sana!
Mara ya mwisho nimemtafuta Rose mwezi huu tarehe 13 . Kupitia kwa Producer wangu na akatoa maelezo kuwa kazi yoyote atakayopaswa kuifanya ipitie kwa Meneja wake Nathan.

Hii ikiwa kabla ya video ya Nairobi haijaanza kusambaa mitandaoni.

Mwisho. Rose Mhando bado ana nafasi ya kufanya vizuri zaidi kama atampata mtu sahihi wa kumsimamia Kiafya, na kazi zake kwa ujumla.
Usione vinaelea vimeundwa bila Nathani usingemfahamu Rose mhando.
Hivi kuimba gospel ni swala la kuongozwa na roho mtakatifu ama meneja?

Tatizo ni kwamba uimbaji was nyimbo za injili uko kimwili zaidi kuliko kiroho. Na hapo ndio shetan anapopata upenyo wa kucheza na kipaji hiki.

Rose anapaswa kukaa kwenye toba ya kweli kwa kumaanisha Kisha amwombe Mungu uvuvio was roho upyaaa. Halafu mwishoni amwombe roho aongoze maisha yake na kipaji chake.
 
Hahahahaaa!!
Ingekuwa rahisi hivyo Anga lote ungesikia nyimbo za muziki wa injili zikivuma.!
Je uliwahhi msikia muimbaji aliyeitwa Rose shabani, Jina la kwanza sina hakika sana nalo. Nikosolewe ikibidi. Je unajua leo yuko wapi?
Bila shaka uliwahi msikia Flora Mbasha yuko wapi leo? Wapo wengi sana walio vuma kwa upepo wenye Nguvu lakini upepo ule haukudumu. Sana wakatoweka kimya kimya.!

Rose Muhando ana kitu cha tofauti sana na waimbaji wengine wa muziki wa injili.(nguvu ya Mungu mwenyewe ndani yake).
Pamoja na kuwa ana matatizo na mapungufu yake Mengi sana, lakini Mungu alichokiweka ndani yake hauwezi kukiondoa ama kukipangua.!
Ndio maana jina lake bado lipo juu mpaka leo hii.

Kilichokosekana kwenye huduma yake ni Usimamizi makini,! Hasa katika nyakati hizi za siku za karibuni. Bado ana nafasi ya kusaidiwa na watu walio na Moyo mwema
Zaidi ya kutoa lawama ambazo hazina Msaada. Toa ushauri ama njoo na mbinu madhubuti za kumsaidia badala ya kuongea tu.

Inasikitisha sana Rose kufikia hapa. Yeye na Bukuku ndio waimba injili waliohamasisha wengi kupenda muziki huo na kuanza kuimba.

Ila waimbaji wa Injili wengi wazinzi sana aisee! Martha Mwaipaja mwenyewe aliwahi kuwa shemeji yangu kwa kijana fulani 'mishen town' anaitwa Uledi. Wamekulana kulana weee sijui wakaishia wapi.

Mungu awasaidie!
 
Very interesting, ila imeandikwa Bwana asipoulinda mji wakeshao wanafanya kazi bure. Pia ikaandikwa amelaaniwa yy amtegemeaye mwanadamu mwenzake. Kumbuka Mungu SI mwanadamu hata aseme uongo.

Siku akiacha kuwategemea wanadamu akamtegemea Mungu Basi Mungu atampa watu sahihi wakufanya naye kazi. Hawa wa kuzini na kubwia bwimbwi siyo wa Mungu. Na Wala roho wa Mungu hawez kukaa hapo
 
Nyuma ya muziki wa Injili kuna mambo mengi sana ya kuvunja moyo na kukatisha tamaa kama usipojua kukabiliana na umaarufu wako.
Nilipofanya hii kazi nimejifunza mengi sana kiroho na kimwili. Kwa waonao nje hawajui ndani kukoje. Hivyo ni rahisi sana kuhukumu. Kabla hujamuona msanii kwenye video jua yupo camera man nyuma yake. Yupo mhariri na timu yake. Hivyo wewe unachokiona na kukipenda kimepita kwenye akili na mikono ya watu wengi sana mkuu.

Dah
 
Lakini ni kosa pale unapokuwa unaweka lawama zote kwa mtu mwingine ili wewe uhurumiwe kana kwamba hujachangia kwa namna yoyote ile kwa ulipofikia...
Lets agree to disagree mkuu
Na ukizingatia hakubakwa alafu anakosa tena kubwa sana la kutembea na mume wa mtu.
 
Kwa hiyo kua tajiri ndio hawezi kudhulumu? utajiri wake unajua kaupataje?
Alikua house girl so what? house girl ni kazi kama zingine na kupitia kipaji chake ndio maana akanyanyuka, kanisa alilihama ndio nini sasa, blah blah blah.

Haifuti the fact kua alikua anatumiwa na kuharibiwa maisha yake.
Kwa hiyo ye kutembea na mume wa mtu alitegemea nin kama sio kuharibu maisha yake tena kwa mikono yake.
 
Mume wa mtu kwani yeye ni nyani??
huyo mume wa mtu hakujua kama ana mkewe nyumbani?
 
Nyuma ya muziki wa Injili kuna mambo mengi sana ya kuvunja moyo na kukatisha tamaa kama usipojua kukabiliana na umaarufu wako.
Nilipofanya hii kazi nimejifunza mengi sana kiroho na kimwili. Kwa waonao nje hawajui ndani kukoje. Hivyo ni rahisi sana kuhukumu. Kabla hujamuona msanii kwenye video jua yupo camera man nyuma yake. Yupo mhariri na timu yake. Hivyo wewe unachokiona na kukipenda kimepita kwenye akili na mikono ya watu wengi sana mkuu.
getrusa hao watu wengi ni wale wanaochaguliwa na wanadamu ama na Mungu?
Ngoja nikupe mfano mmoja mdogo Sana toka nakua Mimi nikiwa mdogo miaka ya Late 80's, nilikuwa namskia Mtumish wa Mungu mwl Mwakasege. Mpaka leo hi nakaribia kujukuu, bado huduma ya Mel Mwakasege inakuwa na Kila seminars ukienda Ina mwamko mkubwa Zaid kuliko iliyopita. Nilichogundua ni hivi huduma yyte ile yakimungu iwe uimbaji, uhubiri injili, kufundisha neno la Mungu, kuombea, kutafsir ndoto nk kunahitaj zaidi kuongozwa na Mungu kuliko kuongozwa na mwanadamu. Ukiongozwa na Mungu atakupa kamati nzur ya ufundi, watu sahihi watakao kushika mkono kwa uaminifu na wenye akili za kimungu sawa sawa na neno lake la kutoka 31:1
Hakuna mwenye akili Kama roho wa Mungu wa akili hakai.ndani yako
 
Well said but kwenye muziki ni tofauti sana.
 
Ni tofauti kwasabb wengi walio na hiki kipaji hudhani wamejibidiisha na ni Bora zaidi. Sabb kubwa ni kwamba burudani huvuta watu wengi Zaid kuliko mahubiri ama Maombi ambayo huitaj watu wanyenyekevu na Wala sio mbwembwe. Hujawah kuona mziki wa dini unapigwa bar? Hukuskia Rose alipataga tuzo za Kilimanjaro music award kama mwimbaj Bora wa nyimbo za injili? Sasa unadhani Nini kimachovutia hapo?
Mapigo ya mziki wenyewe, ambayo hayana tofauti na mziki wa duniani.
Zipo nyimbo za wachache ambazo ukiziskia utajua Mungu anatukuzwa. Lkn wengi wao roho wa Mungu hayumo ndani mwao
 
Natamani siku moja ungeingia kwenye music industry ujue kilichoko huko.!
Kuna mengi sana ambayo hutakaa hata uelewe hata ukifundishwa mwaka mzima.

Siku ukikutana na muimbaji wa muziki wa injili muulize hili swali. "Kwanini unaimba"?
Akiwa anakujibu muangalie usoni kwa makini anachokujibu kisha oanisha na matendo yake.
Au ukikutana na Mhubiri wa Injili wa siku za leo... "Muulize hivi mpendwa kwanini umeamua kuwa mhubiri."?? Akiwa anakijibu muangalie usoni kwa makini kisha oanisha majibu yake na matendo yake

Kisha ukipata hayo majibu jifungie chumbani kwako Muombe sana Mungu.

Mm nawajua kuhusu hata we unavyo wajua. Wengi ni kwasabb ya kuearn leaving lkn SI kwasabb wanataka kumtukuza Mungu
 
Kumbe unawajua.! So gospel muziki huwa ni ngazi tu ya kupandia kuelekea matamanio yao. Ukisha fanya muziki kuwa ngazi ya kupandia lazima ukubali masharti yaliyo katika hiyo ngazi ili usiangukie pua.
Kuna mengi sana nyuma ya pazia la muziki.
Ambayo hayaelezeki kwa maandishi lakini kifupi lazima ujue muziki wa injili ni vita halisi katika ulimwengu wa roho.!
Nimeyashuhudia hayo kila mahali nilipoenda kuandaa matamasha haya ya muziki wa Injili. Na hadithi yake ni ndefu sana.!
 
Ni tofauti kwasabb wengi walio na hiki kipaji hudhani wamejibidiisha na ni Bora zaidi. Sabb kubwa ni kwamba burudani huvuta watu wengi Zaid kuliko mahubiri ama Maombi ambayo huitaj watu wanyenyekevu na Wala sio mbwembwe. Hujawah kuona mziki wa dini unapigwa bar? Hukuskia Rose alipataga tuzo za Kilimanjaro music award kama mwimbaj Bora wa nyimbo za injili? Sasa unadhani Nini kimachovutia hapo?
Mapigo ya mziki wenyewe, ambayo hayana tofauti na mziki wa duniani.
Zipo nyimbo za wachache ambazo ukiziskia utajua Mungu anatukuzwa. Lkn wengi wao roho wa Mungu hayumo ndani mwao
Zamani ukipita mtaa wa pili ukasikia wimbo unajua tu kuna kanisa. Siku hizi mpaka uone viashiria ama usikie maneno. Kanisa lilikusudiwa kuibadili dunia, lakini kinyume chake dunia inalibadili kanisa. Mavazi ya kisasa, nyimbo za kisasa, maisha ya kisasa, mahubiri ya kisasa, etc. Bahati mbaya ni kuwa Mwenyezi Mungu habadiliki, ila sisi wanadamu tunapata definition mpya kila uchao. Tunajaribu kumfanha Mungu a-fit kwenye system ya maisha yetu badala ya sisi kujifitisha kwenye utaratibu wake. Haya ndio matokeo yake.
 
Back
Top Bottom