Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..."
Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa na wenzie. Martin ni celebrity mkubwa bongo, hivyohivyo kwa wenzie Noel. Na ni wanamitindo wakubwa. Hawana shida kabisa, heluwaaa heluwaaa. Nyanda golini kila mechi anakosa cleansheet