Martin akiwa na celebrities/wanamitindo wenzie

Martin akiwa na celebrities/wanamitindo wenzie

Memento

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
4,423
Reaction score
9,986
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..."

Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa na wenzie. Martin ni celebrity mkubwa bongo, hivyohivyo kwa wenzie Noel. Na ni wanamitindo wakubwa. Hawana shida kabisa, heluwaaa heluwaaa. Nyanda golini kila mechi anakosa cleansheet

20211103_134253.jpg
 
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, Kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga......"
Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa na wenzie.
Martin ni celebrity mkubwa bongo, hivyohivyo kwa wenzie Noel.
Na ni wanamitindo wakubwa.
Hawana shida kabisa, heluwaaa heluwaaa.
Nyanda golini kila mechi anakosa cleansheet

View attachment 1996964
Huyo mwenye Maroon ni mwanadiplomasia na alitaka kupewa ubalozi eti
 
Back
Top Bottom