umekuja..☺️Mjini kuna mambo.
kuna mtu amekafundisha IT basi tunalo..Samahani mkuu, una level gani ya elimu?
WaliwaWali .
Huyo mwenye Maroon ni mwanadiplomasia na alitaka kupewa ubalozi etiKuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, Kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga......"
Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa na wenzie.
Martin ni celebrity mkubwa bongo, hivyohivyo kwa wenzie Noel.
Na ni wanamitindo wakubwa.
Hawana shida kabisa, heluwaaa heluwaaa.
Nyanda golini kila mechi anakosa cleansheet
View attachment 1996964
hizo ndiyo mambo zenu hapo Dar??