Martin akiwa na celebrities/wanamitindo wenzie

Huyo mwenye Maroon ni mwanadiplomasia na alitaka kupewa ubalozi eti
Alitaka kupewa ubalozi kweli??? Nimeona siku hizi ameacha mapozi ya kike, namwona pia ni msomi flani hivi, anaenda mpaka UN headquarters
 
Alitaka kupewa ubalozi kweli??? Nimeona siku hizi ameacha mapozi ya kike, namwona pia ni msomi flani hivi, anaenda mpaka UN headquarters
Ndio alitaka wahadhina fulani hivi wakamind
 
Huyo wa Rio video ile oliyovuja anakatika kwenye bwawa miaka ile kiuno laini.
 
Unayo bangi hapo? Maroon kwa kiswahili ndio rangi gani? Tuanzie hapo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚si ugoogle jamaa, au Google yako ni kwa ajili ya pornographies
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…