Martin akiwa na celebrities/wanamitindo wenzie

Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..."

Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa na wenzie. Martin ni celebrity mkubwa bongo, hivyohivyo kwa wenzie Noel. Na ni wanamitindo wakubwa. Hawana shida kabisa, heluwaaa heluwaaa. Nyanda golini kila mechi anakosa cleansheet

View attachment 1996964
Noel kavaaje duuh🙌🙌
 
Siwaelewagi hawa wana mitindo
 
Mjinga utabaki unashangaa kumuona Martin Kadinda ,Majumba mandinga ya Bwana Almas je hizi tracks za harakati ni Ujinga?

Ila hawa watu wapo tu.
Zamani enzi zetu Kino kule nhc kulikua na jamaa limepanda kishenzi lichaga samson lilikua shoga,lilikua linapiga mzigo nbc pale town wakalimwaga. likambeba muuza bucha akahamia yaani wanaishi km mke na mume.
Balaa sasa ikawa kijiwe cha mashoga.
Wengine wanakuja wanaf*rana humo ndani 24/7
Kuna shoga mmoja alikua sana kwa samsoni pale alipata mzungu akaolewa yuko denmark mpk leo.
km mnakumbuka shigongo aliandika zamani sana.
Ukiuliza source , si tulikua vijana wa kitaa tu tunachapa bangi kisha kila mtu anarudi magetoni.
Maskani yetu ilikua hapo nje mbele ya nyumba ya hili senge Samson toka kabla halijahamia
 
Hata wewe ni shoga tu. Kwanini ufuatilie maisha yao namna hiyo?
 
Wamepozi vizuri mnoo.. ila huyo jamaa mbona kashika simu ki mapozi hivo? Au ndo uanamitindo
 
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..."

Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa na wenzie. Martin ni celebrity mkubwa bongo, hivyohivyo kwa wenzie Noel. Na ni wanamitindo wakubwa. Hawana shida kabisa, heluwaaa heluwaaa. Nyanda golini kila mechi anakosa cleansheet

View attachment 1996964
Kuanzia hapo

U-smart anautinga/majumba mandinga /ya bwana almasi je hz track za harakati ni ujinga??

Alikua anamzungumzia Diamond platnumz
 
Kuna wimbo wa Fid Q unaitwa Siri ya Mchezo, kuna mstari anasema ".....wajinga watashangaa kuomuona Martin kadinda, usmart anautinga majumba mandinga..."

Leo nimeona picha ya pamoja Martin akiwa na wenzie. Martin ni celebrity mkubwa bongo, hivyohivyo kwa wenzie Noel. Na ni wanamitindo wakubwa. Hawana shida kabisa, heluwaaa heluwaaa. Nyanda golini kila mechi anakosa cleansheet

View attachment 1996964
kua na cleansheet si kazi ndogo mzee,na hivyo vijana wetu wanavyopenda mteremko siku hizi,wanataka gud life bila kufanya kazi.
 
ukiwaangalia hawa jamaa kutokea mikoani unawezasema maisha dsm ni mepesi sana[emoji3][emoji3].

halafu nauliza tu,hii minduku nayo ina grade eh[emoji1787][emoji1787]mbona wengine wachafu hata iphone 6 plaini inawashinda!!!
 
kua na cleansheet si kazi ndogo mzee,na hivyo vijana wetu wanavyopenda mteremko siku hizi,wanataka gud life bila kufanya kazi.

wengine ndio hivyo wanatoa kwa tamaa halafu wanabaki watumwa wa mchezo na kuanza kutafuta wa kuwapa hela na tobo lenyewe[emoji1][emoji1]

haki pale kweli iko laana.
 
Back
Top Bottom