Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

Martin Garrix anavyowaburuza kina Alan Walker na ma DJ wa EDM

Wote wakali, sema naona sikuhizi Rammor ananishika sana
Listen to Rammor - Summer Vibes Deep House Mix!(9.1 Million Views) by Trevor Phillips on #SoundCloud
Mkuu Kama unamfuatilia rammor mwaka Jana tarehe 9 December alipiga show Kenya na watu walikuwa wengi vibe la hatari hasa alipopiga ngoma ya Martin Garrix scared to be lonely
 
Hiyo Sky full of stars vimepigwa vyombo mle hatari..hiyo inabaki kuwa kazi bora kabisa ya Coldplay
Mkuu pale legendary Avicii alihusika kuproduce na kuandika ngoma yenyewe
 
David Guetta na Avicci ndo walifanya niipende hii genre, siku naiona levels Kwa mara ya kwanza najiuliza Huyu anaesukuma jiwe kubwa mlimani ndiye mwenye ngoma au ni dancer tu[emoji3] na ule uchezaji Hadi ofisi nzima wanapagawa.
Sijakaa vizuri mara Flo Rida nae akatoa wimbo wake 'Good feelings' wenye chorus ya Levels nikasema enheeee hapa hapa. Huku na huku mara nakutana na Beautiful people ya Chris Brown, mara Under control ya Alesso, mara Blame ya Calvin Harris na John Newman. Don't you worry child, nikajikuta nimezama mazima kwenye EDM...verse kidogo sehem kubwa beat linagonga lenyewe tu.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji1]
 
Mkuu Kama unamfuatilia rammor mwaka Jana tarehe 9 December alipiga show Kenya na watu walikuwa wengi vibe la hatari hasa alipopiga ngoma ya Martin Garrix scared to be lonely
Nimeona hiyo show kaka, martin na wote uliowataja nawafatilia sana na wote nawakubali, ni inategemea tu ulivoamka. Kenya wanapata shows za kibabe sana, waTz badoo sana mtu kama Rammor kuja
 
Nimeona hiyo show kaka, martin na wote uliowataja nawafatilia sana na wote nawakubali, ni inategemea tu ulivoamka. Kenya wanapata shows za kibabe sana, waTz badoo sana mtu kama Rammor kuja
kenya wanatuzidi yaani Ile show utadhani tomorrow land. Shida hapa nyumbani EDM wengi hawaijui
 
List ya DJ magazine kwa sasa inasemaje?
IMG_20240318_123216.jpg

Don't miss out this weekend, Ultra Music Festival (Miami) 2024. March 22, 23 & 24
image.png
 
Sikilizen undegrounds kama DJ GOJA then mje mniambie hapa!
 
I took a pill in Ibiza - Mike Posner✌

Basshunter was that dude in the mid 2000s, now you're gone still bangs.
 
Back
Top Bottom