Mkuu warumi usikatishwe tamaa na matusi unacho takiwa ni kutumia kile kitufe cha report abuse vizuri. Wewe na money stuna ni moja ya watu mnaofanya jukwaa hili lichangamke kwa habari.
Bonyeza report post na utaona uwanja wa kuandika.Ahsante brother , na report sehemu gani? Maana natumia simu sidhan kam
a itafaa
Asante mkuu,Unaingizaje kipato kwa hii shughuli?au ni mwajiliwa wa magazeti?....
Uyu ni KE msiangaike nae sana ukiwa unafanya kazi pale kwenye magazeti viwili uwe shoga au mwanaume mmbea
Naona kuna watu humu wanawasaidia kunichamba ,tena ni wanaume , halafu wanajifanya kuniponda ivi wana akili kweli au ndo nyani haoni kundule??
ss kawaumbua team wema kvp??..
kwa neno hilo lenye red huwezi ukawa mwanaume!basi kama wewe mwanaume utakuwa una umartin kadinda flani mixer aunt bilal
Yaani hawa watu wanakera, wasome kilichowaleta waondokeWw mwenyewe shoga ndio maana unaandika umbea hapaaa mumuwaacheeee
taratibu basi martin kadinda...
Yaani hawa watu wanakera, wasome kilichowaleta waondoke
hamna mtu hapo baharia wangu!......naanza kupata picha warumi ni martini kadinda
Mwanaume wa kweli hawezi kuwa na majibu kama haya..labda wale wanaume wanaotumia dume tu ndio hujibu ki dizaini hii
Watu wengi sana wananifahamu , nadhani hii ni moja ya jamii ya watu ninaowazungumzuia.
Ukifahamika na watu wengi ni kawaida sana kuongelewa tofauti tofauti, na Mimi siwez kurumbana na kila mtu ntachoka.
Hata wewe ukija kubahatika kufahamika kama Mimi humu utajionea mwenyewe, ata uwe great thinker kiasi gani , wanatukanwa akina pasco ambao topic zao zina mantiki sembuse Mimi tena kwenye jukwaa la udakum
Wewe nae muongo wala hajawasema team Wema,shame on you
Mti wenye matunda siku zote ndio upigwao mawee
Hawana uwezo kuchangia kwa kina Pasco ndio maana wamekalia huku huku hawaeleki wapo kinyumenyumeeee INAHUUUUUUUUU