Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

Mkuu warumi usikatishwe tamaa na matusi unacho takiwa ni kutumia kile kitufe cha report abuse vizuri. Wewe na money stuna ni moja ya watu mnaofanya jukwaa hili lichangamke kwa habari.

Ahsante brother , na report sehemu gani? Maana natumia simu sidhan kama itafaa
 
Last edited by a moderator:
Naona kuna watu humu wanawasaidia kunichamba ,tena ni wanaume , halafu wanajifanya kuniponda ivi wana akili kweli au ndo nyani haoni kundule??

Wangekua sio wambeaaa na ma aunt bilali wasingebwatukaa lakin kwa vile wanapenda umbeaa kuusoma ndio maana wamo humuu hawana lolote wao ndio wambea kuzid hata wewe
 
Wangekua sio wambeaaa na ma aunt bilali wasingebwatukaa lakin kwa vile wanapenda umbeaa kuusoma ndio maana wamo humuu hawana lolote wao ndio wambea kuzid hata wewe

Aaaah aaaah aah , dah u made my day binamu
 
kwa neno hilo lenye red huwezi ukawa mwanaume!basi kama wewe mwanaume utakuwa una umartin kadinda flani mixer aunt bilal

We mbona hua unakuja kumshabikia Hemmedy kumbe wote mnaliwaa hahhhhhhhhhaaaa hatukujuaaa yailah mtoto lainiii lol
 
Yaani hawa watu wanakera, wasome kilichowaleta waondoke

Wambeaa kweliii wangekua wanaume wasingekuwemo humuu ila kwa vile wanapenda na hawana pa kuutoa umbeaa inabid waje wasomee, ushuz umewabana wajambie hukoooooooooo
 
Mwanaume wa kweli hawezi kuwa na majibu kama haya..labda wale wanaume wanaotumia dume tu ndio hujibu ki dizaini hii

Na wanaume wa kwelii hawawez kutoa maneno ya kipunga pungaa Mbwa kala mbwaaa
 
Wambeaa kweliii wangekua wanaume wasingekuwemo humuu ila kwa vile wanapenda na hawana pa kuutoa umbeaa inabid waje wasomee, ushuz umewabana wajambie hukoooooooooo

Yereuwiiii , aaah aaah
 
Watu wengi sana wananifahamu , nadhani hii ni moja ya jamii ya watu ninaowazungumzuia.

Ukifahamika na watu wengi ni kawaida sana kuongelewa tofauti tofauti, na Mimi siwez kurumbana na kila mtu ntachoka.

Hata wewe ukija kubahatika kufahamika kama Mimi humu utajionea mwenyewe, ata uwe great thinker kiasi gani , wanatukanwa akina pasco ambao topic zao zina mantiki sembuse Mimi tena kwenye jukwaa la udakum

Mti wenye matunda siku zote ndio upigwao mawee
Hawana uwezo kuchangia kwa kina Pasco ndio maana wamekalia huku huku hawaeleki wapo kinyumenyumeeee INAHUUUUUUUUU
 
Mti wenye matunda siku zote ndio upigwao mawee
Hawana uwezo kuchangia kwa kina Pasco ndio maana wamekalia huku huku hawaeleki wapo kinyumenyumeeee INAHUUUUUUUUU

Wanajifanya kuja uku kwa gear ya kuponda kumbe wanataka umbea , wakae uko uko kwa akina pasco kama wao ni ma great thinker , kwani hawajui humu kinachoandikwa??
 
Back
Top Bottom