warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Mkuu warumi usikatishwe tamaa na matusi unacho takiwa ni kutumia kile kitufe cha report abuse vizuri. Wewe na money stuna ni moja ya watu mnaofanya jukwaa hili lichangamke kwa habari.
Ahsante brother , na report sehemu gani? Maana natumia simu sidhan kama itafaa
Last edited by a moderator: