Duh! Astaghafullulah,,maji yashamwagika weye.
Wanajifanya kuja uku kwa gear ya kuponda kumbe wanataka umbea , wakae uko uko kwa akina pasco kama wao ni ma great thinker , kwani hawajui humu kinachoandikwa??
Mda mwingine napenda kujibu comment ya kila mtu , japokuwa sio zote zinazostahili kujibiwa. Nafanya hvyo kwa sababu zifuatazo
Kwanza ,na appreciate sana , kwani mtu kuacha shughuli zake au majukwaa mengine na kumfuata warumi na Ku comment kwenye thread zangu , ni jambo la kushukur sana.
Pili , najitahid sana Kuwa quote japokuwa sio comment zote zinastahili , ili tu niwaonyeshe kuwa comment zao (ziwe negative or positive) zimenifikia na Nina shukuru kwa uwepo wao humu , kwani ni wengi wanaoandika threads humu ila zangu ndo zinafanya vizur , so wao ndo wananifanya niwepo had Leo , nisipo wa quote wataona nawadharau halafu kesho hawatarud sasa huoni kama thread zitabuma na ma ubuyu yatakuwa hayanogi binamu?? Soo waache waongee wanavyojisikia
Ila siwezi kuacha ninachokifanya humu binamu , watu wengi sana wananikubali humu , kuliko hao wachache wanaoniponda
Una maanisha boyish au girlish??
Kuchapiwa ni siri ya ndani.
Na imagine wale mashabiki maandazi waliohamia na huku kushabikia wanayoyaona huko insta na kuyaleta humu.
mkuu warumi,we uwa unafanya kazi saa ngapi? na wewe ni jinsia gani?
Sie tumeona vaa miwaniii
Umeona eeeehh mwenyewe kwanza ni moja ya watu waliopo pale kumtumia wema kwa maslahi yao. Anauza kwachukwachu zake siku zinasonga. Na kakibanda kake pale pembeni basi mjini anaweka heshima.Huyu Kadinda angefanya kazi nyingine hii kama ina mdhalilisha sana.
We wa mombasa niniii katawazeee naona umejiharishiaaaa ,umeyamwaga mwenyewe nani akuzoleeeer zooaaaa mwenyeweee
hivi una habari boss wako warumi mwenyewe anashabikia ya instagram? Na huwa ya instagram yakipostiwa hapa naona kila mtu anayashabikia...teh teh the basi wote wa jukwaa hili ni washabiki mandazi hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole.
Back to warumi naona jinsia yako inawapa watu mkanganyiko...y uwajibu? Si uwe unawakubalia tu hadi wenyewe wachoke manake ukimjibu mtu ni kama unampa nguvu ya kuendelea
sawa mkuu nimekusoma...nilikuwa curious baada ya kuona unafatilia sana mambo binafsi ya kina dada wa mjini...but ni kazi nzuri unafanya.
Hii ndiyo kazi yangu mkuu, Mimi jinsia ya kiume. Karibu sana.
achana na mimi we mlupo wa kienyeji,,ntakuchana...dude langu nalijua mwenyewe...hutaarisha miezi minne..
hivi una habari boss wako warumi mwenyewe anashabikia ya instagram? Na huwa ya instagram yakipostiwa hapa naona kila mtu anayashabikia...teh teh the basi wote wa jukwaa hili ni washabiki mandazi hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole.
Back to warumi naona jinsia yako inawapa watu mkanganyiko...y uwajibu? Si uwe unawakubalia tu hadi wenyewe wachoke manake ukimjibu mtu ni kama unampa nguvu ya kuendelea
Udaku waachie wanawake nashangaa mwanaume unadili na habari kama.hizi je dada.zako wafanye lipi?
kwa wote wavaao miwan huona??? sku nyngn jb swal uslete vioja vsvo huska
Dah word binamu , ntafanyia kazi ushaur wako.
Iv uliangalia Leo east Africa TV?? Nasikia wema alikuwa anahojiwa Leo , na kumbe kajala yupo china ndo maana aibu haijampata kihivyo maana angekuwa bongo angezimia kila siku , bora akae uko had ishu ififie
Umchane nani
Udaku waachie wanawake nashangaa mwanaume unadili na habari kama.hizi je dada.zako wafanye lipi?
Huyu lazma ni kipwapwiso hakunaga mwanaume design hii