Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

Wanajifanya kuja uku kwa gear ya kuponda kumbe wanataka umbea , wakae uko uko kwa akina pasco kama wao ni ma great thinker , kwani hawajui humu kinachoandikwa??

Labda wanataka uwaandikee waoooo hahhheeeeheeeeeee mzungu kalamba ghalashaaaaaa
 
Mda mwingine napenda kujibu comment ya kila mtu , japokuwa sio zote zinazostahili kujibiwa. Nafanya hvyo kwa sababu zifuatazo

Kwanza ,na appreciate sana , kwani mtu kuacha shughuli zake au majukwaa mengine na kumfuata warumi na Ku comment kwenye thread zangu , ni jambo la kushukur sana.

Pili , najitahid sana Kuwa quote japokuwa sio comment zote zinastahili , ili tu niwaonyeshe kuwa comment zao (ziwe negative or positive) zimenifikia na Nina shukuru kwa uwepo wao humu , kwani ni wengi wanaoandika threads humu ila zangu ndo zinafanya vizur , so wao ndo wananifanya niwepo had Leo , nisipo wa quote wataona nawadharau halafu kesho hawatarud sasa huoni kama thread zitabuma na ma ubuyu yatakuwa hayanogi binamu?? Soo waache waongee wanavyojisikia

Ila siwezi kuacha ninachokifanya humu binamu , watu wengi sana wananikubali humu , kuliko hao wachache wanaoniponda

Yaaan ukiona wamekuja kucomment ujuee wanakuaminiaaa pia wanapenda umbeaa wangekua hawapendi wangepita kimya kimyaaaaa lakini wanapenda sanaaaaa ndio maana nilikuambia ubuyu sio wa kuwapa wotee si uliona muda ule alivyofanya mama kibunju chezeaa ubuyu wa motoooooo
 
Last edited by a moderator:
Na imagine wale mashabiki maandazi waliohamia na huku kushabikia wanayoyaona huko insta na kuyaleta humu.

hivi una habari boss wako warumi mwenyewe anashabikia ya instagram? Na huwa ya instagram yakipostiwa hapa naona kila mtu anayashabikia...teh teh the basi wote wa jukwaa hili ni washabiki mandazi hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole.

Back to warumi naona jinsia yako inawapa watu mkanganyiko...y uwajibu? Si uwe unawakubalia tu hadi wenyewe wachoke manake ukimjibu mtu ni kama unampa nguvu ya kuendelea
 
Last edited by a moderator:
Huyu Kadinda angefanya kazi nyingine hii kama ina mdhalilisha sana.
Umeona eeeehh mwenyewe kwanza ni moja ya watu waliopo pale kumtumia wema kwa maslahi yao. Anauza kwachukwachu zake siku zinasonga. Na kakibanda kake pale pembeni basi mjini anaweka heshima.
 
We wa mombasa niniii katawazeee naona umejiharishiaaaa ,umeyamwaga mwenyewe nani akuzoleeeer zooaaaa mwenyeweee

achana na mimi we mlupo wa kienyeji,,ntakuchana...dude langu nalijua mwenyewe...hutaarisha miezi minne..
 
hivi una habari boss wako warumi mwenyewe anashabikia ya instagram? Na huwa ya instagram yakipostiwa hapa naona kila mtu anayashabikia...teh teh the basi wote wa jukwaa hili ni washabiki mandazi hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole.

Back to warumi naona jinsia yako inawapa watu mkanganyiko...y uwajibu? Si uwe unawakubalia tu hadi wenyewe wachoke manake ukimjibu mtu ni kama unampa nguvu ya kuendelea

Habari bure magazeti hela wao wenyewe wanamuaminiaaa ndio maana akitoa uzi wanajaa na vijambio vyao hapaaaa WAKATAWAZEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Last edited by a moderator:
sawa mkuu nimekusoma...nilikuwa curious baada ya kuona unafatilia sana mambo binafsi ya kina dada wa mjini...but ni kazi nzuri unafanya.

Umejuaje kama anafatiliaa kama sio wewe kufatiliaaaa udaku hahhhhhhaa wale waleeeee
 
achana na mimi we mlupo wa kienyeji,,ntakuchana...dude langu nalijua mwenyewe...hutaarisha miezi minne..

Umchane nani hata makalii hunaaa nyoka wa kibisa wewe kale ungaaaa pisheeeeeeeeeee
 
hivi una habari boss wako warumi mwenyewe anashabikia ya instagram? Na huwa ya instagram yakipostiwa hapa naona kila mtu anayashabikia...teh teh the basi wote wa jukwaa hili ni washabiki mandazi hakuna wa kumnyooshea mwenzake kidole.

Back to warumi naona jinsia yako inawapa watu mkanganyiko...y uwajibu? Si uwe unawakubalia tu hadi wenyewe wachoke manake ukimjibu mtu ni kama unampa nguvu ya kuendelea

Dah word binamu , ntafanyia kazi ushaur wako.

Iv uliangalia Leo east Africa TV?? Nasikia wema alikuwa anahojiwa Leo , na kumbe kajala yupo china ndo maana aibu haijampata kihivyo maana angekuwa bongo angezimia kila siku , bora akae uko had ishu ififie
 
Azimie kwa lipiiiii hekooo wa kumuogopa hapa duniani ni Mungu wengine TUPA KULEE anaehukumu ni mola sio hawa binaadamu wajuajiiii hata hawajijuiiii
 
Back
Top Bottom