mkuu unasikitisha kwa kushndwa kutambua huyu ni ke au na wewe ni ke pia?
Naomba nitumie na mimi ubuyuYaaan ukiona wamekuja kucomment ujuee wanakuaminiaaa pia wanapenda umbeaa wangekua hawapendi wangepita kimya kimyaaaaa lakini wanapenda sanaaaaa ndio maana nilikuambia ubuyu sio wa kuwapa wotee si uliona muda ule alivyofanya mama kibunju chezeaa ubuyu wa motoooooo
shikamoo mkuu...!!
shikamoo mkuu...!!
Dah word binamu , ntafanyia kazi ushaur wako.
Iv uliangalia Leo east Africa TV?? Nasikia wema alikuwa anahojiwa Leo , na kumbe kajala yupo china ndo maana aibu haijampata kihivyo maana angekuwa bongo angezimia kila siku , bora akae uko had ishu ififie
Ha ha ha ha umemalizaJamii nzima hayupo mbea kama wewe umekaa kibilali bilali,watu wanajipendekeza kwa Jk wenye nazo we kapuku mla mavi nani ajipendekeze kwakoo kagongwe hukoo umalize hasira zako
Hivi nyie mbona hivyo lakini? Itabidi niandae mashindano ya kubanjuana alafu wote wanaojiona vidume wajitokeze ili tupate mshindi. Manake kazi imekuwa kazi
Wataisoma binamu humu udaku miaka miaaa, hawatak wapite iviii
Wanapenda kucheza kigodoroo hao viunoo juujuuuuuu kama bembeaaa halaf eti wanajiita wanaume, hahhhaahaa wanavaa tu suruali lakini hawajijui kua ni wanaumee herooooo
Sikuangalia nimeona tu clip mahali, ila kuhusu kajala yuko china anauza chiu toka alipopiga zile picha za kidai yuko business class. Kajala hawezi kuaibika alishakubuhu kwenye idara hiyo..kama aliweza kwa baba itakuwa kwa X wa rafiki aliyemtoa shimoni?
warumi na Mimi naomba nkuchambe(chambishe) the teh tehNaona kuna watu humu wanawasaidia kunichamba ,tena ni wanaume , halafu wanajifanya kuniponda ivi wana akili kweli au ndo nyani haoni kundule??
Kwanza watoto wenyewe si rizk ndo maana wanaendekeza shombo humu watuache.... Wangekuwa salama wange concentrate kwenye hiyo mada siyo kuchamba mtu tena mwanaume, mabwabwa tu hayo.
Du kumbe ni chakula ya babake. Kajala Kajala laana hii kama ni kweli. Una uthibitisho mkuu.