Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

Yaaan ukiona wamekuja kucomment ujuee wanakuaminiaaa pia wanapenda umbeaa wangekua hawapendi wangepita kimya kimyaaaaa lakini wanapenda sanaaaaa ndio maana nilikuambia ubuyu sio wa kuwapa wotee si uliona muda ule alivyofanya mama kibunju chezeaa ubuyu wa motoooooo
Naomba nitumie na mimi ubuyu
 
Last edited by a moderator:
Dah word binamu , ntafanyia kazi ushaur wako.

Iv uliangalia Leo east Africa TV?? Nasikia wema alikuwa anahojiwa Leo , na kumbe kajala yupo china ndo maana aibu haijampata kihivyo maana angekuwa bongo angezimia kila siku , bora akae uko had ishu ififie

Sikuangalia nimeona tu clip mahali, ila kuhusu kajala yuko china anauza chiu toka alipopiga zile picha za kidai yuko business class. Kajala hawezi kuaibika alishakubuhu kwenye idara hiyo..kama aliweza kwa baba itakuwa kwa X wa rafiki aliyemtoa shimoni?
 
Wale wanaoandika magazeti ya shigongo wote ni wanawakeee!!!???nenda jukwaa la great thinker humu ni udaku,umbea ndio habari ya mjiniiii

Wataisoma binamu humu udaku miaka miaaa, hawatak wapite iviii
 
Azimie kwa lipiiiii hekooo wa kumuogopa hapa duniani ni Mungu wengine TUPA KULEE anaehukumu ni mola sio hawa binaadamu wajuajiiii hata hawajijuiiii

Siku ukihama humu na Mimi nahama , penda sana mm wewe
 
Hivi nyie mbona hivyo lakini? Itabidi niandae mashindano ya kubanjuana alafu wote wanaojiona vidume wajitokeze ili tupate mshindi. Manake kazi imekuwa kazi
 
Jamii nzima hayupo mbea kama wewe umekaa kibilali bilali,watu wanajipendekeza kwa Jk wenye nazo we kapuku mla mavi nani ajipendekeze kwakoo kagongwe hukoo umalize hasira zako

Ahsante binamu, nimecheka sana Leo dah
 
Hivi nyie mbona hivyo lakini? Itabidi niandae mashindano ya kubanjuana alafu wote wanaojiona vidume wajitokeze ili tupate mshindi. Manake kazi imekuwa kazi

Wanapenda kucheza kigodoroo hao viunoo juujuuuuuu kama bembeaaa halaf eti wanajiita wanaume, hahhhaahaa wanavaa tu suruali lakini hawajijui kua ni wanaumee herooooo
 
Wataisoma binamu humu udaku miaka miaaa, hawatak wapite iviii

Wanautaka sana ndio maana wamo humuu majukwaa mengine hawawezi kukanyagaa maana kule kuna wanaume majabali wana data sio hawa tunashinda nao huku halaf mdomo juju ka kasuku utafikiri uliwaomba ugaliiiu
 
Wanapenda kucheza kigodoroo hao viunoo juujuuuuuu kama bembeaaa halaf eti wanajiita wanaume, hahhhaahaa wanavaa tu suruali lakini hawajijui kua ni wanaumee herooooo

Thread zangu humu ni umbea tu , kama unajiona haufit wapitie mbali , mashindano yao ya kuvaa bikini na pedo wakafanyie uko wakafungue thread zao waanzishe ujinga wao uko , humu ni ma ubuyu tu tunapeana
 
Mbona sioni mahali Kadinda alipowaumbua team Wema. Yeye kasema Wema au Endless Fame hawahusiki kuwaelekeza wanayoandika wala hawawajui hao pro Wema. Ila kweli Wema nimegundua huyu binti ana wafuasi wengi sana.
 
Sikuangalia nimeona tu clip mahali, ila kuhusu kajala yuko china anauza chiu toka alipopiga zile picha za kidai yuko business class. Kajala hawezi kuaibika alishakubuhu kwenye idara hiyo..kama aliweza kwa baba itakuwa kwa X wa rafiki aliyemtoa shimoni?

Du kumbe ni chakula ya babake. Kajala Kajala laana hii kama ni kweli. Una uthibitisho mkuu.
 
Naona kuna watu humu wanawasaidia kunichamba ,tena ni wanaume , halafu wanajifanya kuniponda ivi wana akili kweli au ndo nyani haoni kundule??
warumi na Mimi naomba nkuchambe(chambishe) the teh teh

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwanza watoto wenyewe si rizk ndo maana wanaendekeza shombo humu watuache.... Wangekuwa salama wange concentrate kwenye hiyo mada siyo kuchamba mtu tena mwanaume, mabwabwa tu hayo.

Umeona eee hata kuchamba hawajuiiiii wanajifunzaa kama huyu mwenye sura kama avatar yake anajifanyaa anajuaaaa wakati zerooo ptuuuuuuu majukwaa yote ashamuona warumii tu kichwan limejaa makamasii tu
 
Back
Top Bottom