Jitu linaingia lenyew kazi kuhangaika na status za watu wengine ...utasutwa kama huna comment pita kimya kimya ...
Nakurekebisha wewe mtoto wa kiume uliyekaa kiudakuudakuNikuulize wewe badala uwaachie wadada wa comment una comment wew , sasa Sijui akina Dada wa comment nn
mkuu unasikitisha kwa kushndwa kutambua huyu ni ke au na wewe ni ke pia?
Huyu naye sijui katokea wapiHuyo ni ME nilimwona amemjibu mtu kuwa yeye ni me ila nina mashaka na me wake.
Nakurekebisha wewe mtoto wa kiume uliyekaa kiudakuudaku
mkimaliza mniambie nianze rasmi operation pumbuka.
Thread zangu humu ni umbea tu , kama unajiona haufit wapitie mbali , mashindano yao ya kuvaa bikini na pedo wakafanyie uko wakafungue thread zao waanzishe ujinga wao uko , humu ni ma ubuyu tu tunapeana
Wewe nae muongo wala hajawasema team Wema,shame on you
Una maanisha boyish au girlish??
Kuchapiwa ni siri ya ndani.
hii ni jf popote muda wowote unakomenti bwana...acha mikwara mbuzi bwana ww warumi aje wewe.....owner ni max pekee
kula like mkuu via mchina.
Endelea kutupa burudani wambea tunaochipukia tupo na tunathamini kazi za vidole vyako
Huu uzi hatari tupu......
Hii ndiyo kazi yangu mkuu, Mimi jinsia ya kiume. Karibu sana.