Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Jitu linaingia lenyew kazi kuhangaika na status za watu wengine ...utasutwa kama huna comment pita kimya kimya ...
My wiiiu ulikua wapiiii shosti hiloo twende nalo kwenye kigodoroooooo limekosa bwana na wanja wake wa sinaaaa mumee hahhhhha