Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

Martin Kadinda awaaumbua Team Wema

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Manager na msemaji mkuu wa msanii maarufu wa filamu wema sepetu aitwaye martin kadinda , amefunguka kuhusu Team zinazoendelea uko IG. Hiki ndicho alichokiandika.

" Kusaidiana katika maisha , hakumaanishi kuwa tunammiliki, hayo ni maisha yake binafsi"

" Haya ya Instagram tuwaachie huku huku , ukiyasikiliza utashindwa kumwamini mama yako mzazi"

"Tusiishi Fake Life instagram wakati in real Life hatuna hata hela ya chumvi".

Ahsante sana kaka manager kwa maneno yako ya busara , nadhani watakuwa wamekuelewa.

attachment.php
 

Attachments

  • 1399628580451.jpg
    1399628580451.jpg
    66.5 KB · Views: 6,039
Uyu ni KE msiangaike nae sana ukiwa unafanya kazi pale kwenye magazeti viwili uwe shoga au mwanaume mmbea
 
Na imagine wale mashabiki maandazi waliohamia na huku kushabikia wanayoyaona huko insta na kuyaleta humu.
 
Na imagine wale mashabiki maandazi waliohamia na huku kushabikia wanayoyaona huko insta na kuyaleta humu.

Yamewashuka , naona wanatoa mapovu tu apa.

Sasa nashangaa ndugu zako wananiita mbea , kama wenyew sio wambea humu wanafuata nini?.
 
kwa neno hilo lenye red huwezi ukawa mwanaume!basi kama wewe mwanaume utakuwa una umartin kadinda flani mixer aunt bilal

Ulijuaje Nina izo tabia kama na wewe hauna?? , halafu nakushangaa sana , kinachokuleta humu kama wewe hupendi umbea kitu gani ?? Uo ni unafk, na inawezekana tabia ulizizitaj wewe ndo unazo
 
Back
Top Bottom