Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo unata tujue upo USA?
USA mchezo...yupo hapo changanyikeni
USA mchezo...yupo hapo changanyikeni
Ni seneta wa jimbo gani hapa USA?
bibie labda hujamwelewa ni kwa nassary panaitwa USA river
Hata nauli ya kufika huko kwa Nassary hana...niamini mimi....hapo alipo anawaza kupiga pasi ndefu boom lishakata....Hiyo USA anaisoma kwenye madesa....
Ndo huyo huyo...Ukimkuta jukwaa la elimu kama ye ndo Waziri wa elimu vile...
Kuna Jamaa alikuwa na Nyodo sana anasoma MUCCOBS watu wakamuanika hapa hadi akabadilisha jina kutoka mpiga msuli hadi mwanasheria na kawa mpole kishenzi.