Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Watu waliweka matokeo yake ya kusap na wakaambatanisha na picha yake
Mkuu muache demu wangu aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu waliweka matokeo yake ya kusap na wakaambatanisha na picha yake
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.
Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.
Nachelea.kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.
Mkuu muache demu wangu aisee
siyo mwanafunzi tu ila mwanafunzi sugu
ona hata huu uzi umemgeuka sasa
Mkuu muache demu wangu aisee
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.
Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.
Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.
Hanaga muda wa kujibu kila id hicho tu yupo juuu hhhhaaaa
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.
Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.
Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.
Asifikirie matokeo yake ya sup, aanze atujibu tena.
Kwani Usa River ipo Changanyikeni? Umechemka Kim, pande za Arusha!USA mchezo...yupo hapo changanyikeni
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.
Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.
Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.
wapo wanaochanganya lugha na unawaelewa wanachosema,ila kwa upande wangu hii spora show huyu jamaa kaongea vizuri kuliko wengine waliowahi hojiwa
Kiranga you nailed it. Hawezi kutuambia tupende vya kwetu wakati yeye kiswahili hakipendi. Yaani akitaka kuweka msisitizo ni lazima aongee Kingereza. Wote hatq huyo Sporah hajui kingereza nimemsikiliza matamshi ya yake. Instagram anatamka,'Instogramu'!!
Ni vyema tukajifunza kutochanganya lugha wakati wa mahojiano. Sijawahi ona ma celebrity wakichanganya latino na english at the same time.