Martin Kadinda,huyu jamaa yupo smart kwenye interview

Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.

Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.

Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.
 
Nachelea.kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.

Like likee
 
Hiyo spora show ni tv program ya station gani? Inakua inarushwa lini sa ngapi?
 
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.

Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.

Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.

Mujarabu na Nachelea ni maneno yenye maana gani? Ni kinyamwezi ama kiswahili?
 
Jerrymsigwa

Ni kiswahili.

Fanya kama zoezi la mwisho wa juma kujinoa msamiati.
 
Last edited by a moderator:
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.

Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.

Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.

Kiranga you nailed it. Hawezi kutuambia tupende vya kwetu wakati yeye kiswahili hakipendi. Yaani akitaka kuweka msisitizo ni lazima aongee Kingereza. Wote hatq huyo Sporah hajui kingereza nimemsikiliza matamshi ya yake. Instagram anatamka,'Instogramu'!!

Ni vyema tukajifunza kutochanganya lugha wakati wa mahojiano. Sijawahi ona ma celebrity wakichanganya latino na english at the same time.
 
Huyo bwana designer ana dalili zote za upunga. Kwanza tizama anapojieleza mikono inatumika sana na kuchanua vidole. Kama anavyofanya dada yetu Sporah. Pili hawezi jibu swali dogo Yes or No. Lazima ataleta hadithi ndefu wakati aliulizwa watu wanadai kuwa wewe ni mwanaume tata. Alitakiwa ajibu, no si kweli. Sasa hadithi nyingi za nini kutaka ku justify..
Tatu wana mikao yao muangalie utagundua tu.
 
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.

Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.

Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.

wapo wanaochanganya lugha na unawaelewa wanachosema,ila kwa upande wangu hii spora show huyu jamaa kaongea vizuri kuliko wengine waliowahi hojiwa
 
Totally beside my point.
 
Kiranga you nailed it. Hawezi kutuambia tupende vya kwetu wakati yeye kiswahili hakipendi. Yaani akitaka kuweka msisitizo ni lazima aongee Kingereza. Wote hatq huyo Sporah hajui kingereza nimemsikiliza matamshi ya yake. Instagram anatamka,'Instogramu'!!

Ni vyema tukajifunza kutochanganya lugha wakati wa mahojiano. Sijawahi ona ma celebrity wakichanganya latino na english at the same time.

Sasa nini hiki umeongea na wewe?
Ukihubiri mabadiliko unatakiwa uwe sehemu ya hayo mabadiliko.
 
Back
Top Bottom