Martin Kadinda,huyu jamaa yupo smart kwenye interview

Hata nauli ya kufika huko kwa Nassary hana...niamini mimi....hapo alipo anawaza kupiga pasi ndefu boom lishakata....Hiyo USA anaisoma kwenye madesa....

Hahahahahah...nimecheka aisee,boom kwishney analeta stress zake hapa
 
ha ha ha tena umenikumbusha hivi huyu Perry sio yule ambae wanafunzi wenzake walimuumbua kule kwenye jukwa la chaki kweli kumbe ni denti cjui uclas cjui wapi eti leo anamzingua Viol

Hahaha jf naipenda sana
 
Last edited by a moderator:
Ndo huyo huyo...Ukimkuta jukwaa la elimu kama ye ndo Waziri wa elimu vile...

Hhhhhhaaaaa loooo perry hua nomaaa eti kama waziri kwa hiyo kachukua nafas ya mpiga msuli etii
 
Daah itabidi nianze kutembelea hilo jukwaa

lipi hilo bibie tena karibu sana yaan jf tupo wa kila aina aisee nliwai ona humu eti the traveller nae ana id humu sitashangaa kama atakua ndo Madame B
 
Last edited by a moderator:
basi kipindi hicho hicho na hyo mpiga msuli naskia katika nyodo alishawai zinguana na ticha wake

Hawa Jamaa walikuwa wanakatisha watu tamaa sana bora walivyoumbuliwa nakumbuka sredi ile page zilikuwa zinaenda kwa speed ya light 3x10⁸m/s.
 
Hata nauli ya kufika huko kwa Nassary hana...niamini mimi....hapo alipo anawaza kupiga pasi ndefu boom lishakata....Hiyo USA anaisoma kwenye madesa....

Hhhhhaaaa lusungo njoo uone huku rafiki yako perry anaumbuliwaaa
 
Last edited by a moderator:
Hawa Jamaa walikuwa wanakatisha watu tamaa sana bora walivyoumbuliwa nakumbuka sredi ile page zilikuwa zinaenda kwa speed ya light 3x10⁸m/s.

na watu walinyonyeshwa ban kinoma aisee ila huyu Perry awe mpole asije akazinguliwa. mkuu yaan nyodo sio kitu kizuri kabisa
 
Last edited by a moderator:
na watu walinyonyeshwa ban kinoma aisee ila huyu Perry awe mpole asije akazinguliwa. mkuu yaan nyodo sio kitu kizuri kabisa

Kuna mtu alipost ana HIV anatafuta alie na HIV ili waoane heee perry alimjibu wee kufa mwenyewe na ukimwi wako" looo uzi ukageuka kumjadili perry
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu alipost ana HIV anatafuta alie na HIV ili waoane heee perry alimjibu wee kufa mwenyewe na ukimwi wako" looo uzi ukageuka kumjadili perry

ona hata huu uzi umemgeuka sasa
 
Hhhhhhaaaaa loooo perry hua nomaaa eti kama waziri kwa hiyo kachukua nafas ya mpiga msuli etii

Ukute ndo yeye huyu kabadilisha jina...yani ana nyodo kama le baharia.....
 
Cha kusikitisha watu waliweka matokeo yake ya sap na picha yake
 
USA mchezo...yupo hapo changanyikeni

Tuko nae huku Kajambanani........

ha ha ha tena umenikumbusha hivi huyu Perry sio yule ambae wanafunzi wenzake walimuumbua kule kwenye jukwa la chaki kweli kumbe ni denti cjui uclas cjui wapi eti leo anamzingua Viol

Atakuwa Ardhi, uclas imeshajifia long time.

Ndo huyo huyo...Ukimkuta jukwaa la elimu kama ye ndo Waziri wa elimu vile...

Kuna Jamaa alikuwa na Nyodo sana anasoma MUCCOBS watu wakamuanika hapa hadi akabadilisha jina kutoka mpiga msuli hadi mwanasheria na kawa mpole kishenzi.

Hahaha jf naipenda sana

Hhhhhhaaaaa loooo perry hua nomaaa eti kama waziri kwa hiyo kachukua nafas ya mpiga msuli etii

Watu waliweka matokeo yake ya kusap na wakaambatanisha na picha yake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…