Martin Kadinda,huyu jamaa yupo smart kwenye interview

Sasa nini hiki umeongea na wewe?
Ukihubiri mabadiliko unatakiwa uwe sehemu ya hayo mabadiliko.

Nilidhan mimi ningekuchapa ukaenda kulala sasa hiviiii
 
Sasa nini hiki umeongea na wewe?
Ukihubiri mabadiliko unatakiwa uwe sehemu ya hayo mabadiliko.

Kipi hujaelewa mdau!! Au ni sentensi ya mwisho ndo imekuchanganya?
 

Hahahaaa huyo Sporah kwenye kile kipindi chake na Diamond badala ya kusema 'mount Kilimanjaro' alisema 'mountain Kilimanjaro'.

Angalia kuanzia dakika ya 2:11 mpaka 2:18.

 
Last edited by a moderator:
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.

Ndiyo maana huwa naamini kwamba watu wapendao kuchanganya lugha (tuseme waongeao Kiswahili na kutupia tupia vijineno vya Kiingereza) mara nyingi huwa hawazijui lugha zote mbili vizuri hususan ile ya kigeni.

Sidhani kama wanaweza kuongea, kwa mfano tu, Kiingereza kwa masaa 7.5, wakiwasilisha mada, kujibu maswali, na kushiriki maongezi madogo madogo.
 
Hahahaaa huyo Sporah kwenye kile kipindi chake na Diamond badala ya kusema 'mount Kilimanjaro' alisema 'mountain Kilimanjaro'.

Hahaha.

Direct translation.

Mountain = mlima.

Therefore "mlima Kilimanjaro" = "mountain Kilimanjaro".

She should know better, but also the hodgepodge patch up illogical job that is the English language does not help matters.

Especially for people who are used to a more logically consistent language like Swahili.
 

You are right!

English is a difficult language to master because there seems to be no rhyme or reason to it.

And to be fair, even native speakers do mangle it so it's okay to cut non-native speakers some slack.
 
''mi sikufuchi sitaki urafiki na mastaa,ukihit ndo unang'aa,mwisho wa siku kwenye baa,upewe na jeraha,kitu ambacho si rahisi nikiwa underground,sikuhizi mabinti wanaonimiss ni wale walionidiss nikisoma nao''
 
Hivi huwa najiuliza, kwa nini wabunifu wa mitindo wanaume wengi wana chembe chembe za ushoga? Au wengine ni mashoga kabisa wanaojulikana wazi, na hii ni duniani kote???!!!
 
Hivi huwa najiuliza, kwa nini wabunifu wa mitindo wanaume wengi wana chembe chembe za ushoga? Au wengine ni mashoga kabisa wanaojulikana wazi, na hii ni duniani kote???!!!

Wengi wao ni mashoga sijui kwaninii
 

Mpk naona aibu kusema nimesoma nae tena shule ya kishujaa tosa boys...lakini tangu shule walishaanza kumpanda huyu dogo!!!
 
Bina nilikuwa Vietnam kukuletea smartphone za bure lol....

Mzima lakini? Si unajua ziara za first class tunavyokuwa busy? Nimerud sasa lete maneno...

Haya unipe haraka zawad zangu
Sijambo,,kwa hiyo umeniletea na bomu hata mojaa
 
Cha kusikitisha watu waliweka matokeo yake ya sap na picha yake

Hahahahahahah,huu uzi umenifurahisha sana tayta naomba msaada wa picha ya Perry na supu yake aliokunywa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…