Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Napenda wambea, nasikia ni watamu sana, frankly speaking sijawahi kumpata. Nashangaa tena unaposema tayari uko na mume! So the gap between the hope and the happening!Pole sana,na ujinga wako huu unawezaje kumpata Nifah hadi awe mkeo?
Babe ake mimi ananielewa,ananipenda hivyohivyo na umbea wangu.
Guess what....habari nyingi hunipa yeye.
Kalagabaho