Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mwee watu mnachukuaga maneno habari mwatunga wenyewe.. shikamooni wambea huyo sio mke wa kaka manager
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halaf huyu eti kanunua BMW kumpa zawadi wema, maisha yenyewe hayoo thubutuuuuu[/QUOTE
Martin Kadinda hana uwezo wakutoa zawadi ya gari la milion 75 kumzidi Dimond,boss wa skylite anahusuka Mr Seba,na Martin ni kuadi tu,habari za ndani zina sema kuwa Seba anatoka na Wema
Sasa Wema atachagua kutembelea kimorano cha baby au Bm ya kidum,zawadi imefunika zawadi ya Mume
Zawadi ya Kidumu nomaaaa....kadinda anatembelea corola ya 1998 BMW aipate wapi

Brenda hiyo bmw 2005 model inaingia na 18m mpka 20m jina lisikutishe,istoshe murano iko juu inaweza ingia kwa 25m ndio mana wa2 wanaziuza kwa 25 mpka 30m

True dat,murano 25m BMW kama ni 3 series hizi ni 10m-12m,seven forty fizai(745i) inauzwa 25 na 750i inatembea 30m.

Hiyo ni 750i 2004 taa zake za mbele c crystal light hpo watakuja na stori bmw 75m murano 60m walivyo wapuuzi
Dah!kasebule kadogo,ka~meza kamewabana mpaka kwenye miguu
Si alisema hapendi kumuanika m sweet wake kutokana na future ya kazi yake??? ( sijui anataka kufanya kazi ikulu!!)
Eti hapendi mambo ya media..vipi tena?
Kuna mtu anayependa media kma yy dunia! Umuoni hata kwenye kipindi cha wema anavyopenda tension kuliko boss wake, basi jana ungemuona anavyojishaua kwenye birhday ya boss wake utafikiri nzi aliyekuwa kwenye hedhi
Mtoto ni geresha tu.....
hajafanana kbs na baba
Mpaka mwezi uishe hatutapumuaaa
Kuna mtu anayependa media kma yy dunia! Umuoni hata kwenye kipindi cha wema anavyopenda tension kuliko boss wake, basi jana ungemuona anavyojishaua kwenye birhday ya boss wake utafikiri nzi aliyekuwa kwenye hedhi
Kupenda tension ndio nini? Hizi shule za kata hizi basi tu ngoja nikae kimya
Mjinga utabaki kushangaa kumuona Martin Kadinda...