Martin Kadinda na mkewe, mashallah

Martin Kadinda na mkewe, mashallah

Mwee watu mnachukuaga maneno habari mwatunga wenyewe.. shikamooni wambea huyo sio mke wa kaka manager
 
Halaf huyu eti kanunua BMW kumpa zawadi wema, maisha yenyewe hayoo thubutuuuuu[/QUOTE
Martin Kadinda hana uwezo wakutoa zawadi ya gari la milion 75 kumzidi Dimond,boss wa skylite anahusuka Mr Seba,na Martin ni kuadi tu,habari za ndani zina sema kuwa Seba anatoka na Wema
Sasa Wema atachagua kutembelea kimorano cha baby au Bm ya kidum,zawadi imefunika zawadi ya Mume
Zawadi ya Kidumu nomaaaa....kadinda anatembelea corola ya 1998 BMW aipate wapi
 
Brenda hiyo bmw 2005 model inaingia na 18m mpka 20m jina lisikutishe,istoshe murano iko juu inaweza ingia kwa 25m ndio mana wa2 wanaziuza kwa 25 mpka 30m
 
Naona siredi ni Kadinda, ni Wema , ni Diamond, ni Meninah , ni Lulu. Yaani kazi ipo.
 
Si alisema hapendi kumuanika m sweet wake kutokana na future ya kazi yake??? ( sijui anataka kufanya kazi ikulu!!)
Eti hapendi mambo ya media..vipi tena?

Kuna mtu anayependa media kma yy dunia! Umuoni hata kwenye kipindi cha wema anavyopenda tension kuliko boss wake, basi jana ungemuona anavyojishaua kwenye birhday ya boss wake utafikiri nzi aliyekuwa kwenye hedhi
 
Mtoto ni geresha tu.....
hajafanana kbs na baba
 
Kuna mtu anayependa media kma yy dunia! Umuoni hata kwenye kipindi cha wema anavyopenda tension kuliko boss wake, basi jana ungemuona anavyojishaua kwenye birhday ya boss wake utafikiri nzi aliyekuwa kwenye hedhi

Ha ha halafu ww ni mama kibunju huyu huyu wa Daslama? Kino sijui non?
 
Kupenda tension ndio nini? Hizi shule za kata hizi basi tu ngoja nikae kimya

Aka kupenda attention, ni kama unafanya kitu kwa makusudi ili watu wakuangalie au kukuongelea ww, acha kuwekeza pesa kwenye cm au vipochi manyoya nenda kasome english course hata ya ngumbaru itakusaidia kidogo au nunua kamusi ya english to swahili
 
Back
Top Bottom