Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyoka mla unga anajitutumuaaaaaa
Hasikate tamaa aendelea kujipa moyo ipo siku anaweza kuwa wake,swali la kujiuliza wana JF ulishawahi kumuona martin kadinda?
kwahiyo ulikuwa mwana JF wakwanza kumuona Kadinda...?
hapana, hizo ni rekodi za diamond mwache mpwa wangu usimletee kiwingu.
si nasikia hadindishi, au?
Wanaume wazima kuleta habari kama hizi. Mi nina wasiwasi kuwa watoto wengi wa kiume siku hizi wameharibika kimaumbile.