Martin Kadinda: Nilitamani Wema awe wangu

Martin Kadinda: Nilitamani Wema awe wangu

haya majina mengine sijui unayataja vip ukweni
 
Huyu jamaa si anashikiwa ukuta na Wema? Just how the hell is Guy even news in Tanzania?
 
Dogo anajua kupotezea asee!! anyway ni haki yake kujieleza ila wadau tunaelewa
 
Wanaume wazima kuleta habari kama hizi. Mi nina wasiwasi kuwa watoto wengi wa kiume siku hizi wameharibika kimaumbile.

we unaona mwanaume anaweza kuwa na habari za hivi? anayeweza ni mwanamke tuau shilawadu uyu anakojoa amechuchumaa ntakuwekea picha yake hapa ukibisha
 
Hiyo ni kweli kbs hata martin aliwahi kuniambia

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom