Martin Kadinda: Nilitamani Wema awe wangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amesema kabla hajawa kiongozi wake, awali aliwahi kumtamani kimapenzi mcheza filamu Wema Sepetu

Lakini alighairi baada ya kugundua ni mwanamke wa kudekadeka. Kadinda alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati akipiga stori na paparazzi wetu kuhusu masuala mbalimbali yanayomhusu msichana huyo .
 
Hasikate tamaa aendelea kujipa moyo ipo siku anaweza kuwa wake,swali la kujiuliza wana JF ulishawahi kumuona martin kadinda?

Mh.... hapana sijawahi kumuona martin KADINDA
 
Mwanahabari wao au kwa Sporah Show?kwa nini hawapendi kutambua source ya habar hawa wadaku?

Kwani sporah show sio mwana habari au kwa kuwa hawajamtaja jina?
 
Mjinga utashangaa kumuona Martin Kadinda..
 
Hasikate tamaa aendelea kujipa moyo ipo siku anaweza kuwa wake,swali la kujiuliza wana JF ulishawahi kumuona martin kadinda?

Hahahaha wewe unatafuta uchokozi
 
Hasikate tamaa aendelea kujipa moyo ipo siku anaweza kuwa wake,swali la kujiuliza wana JF ulishawahi kumuona martin kadinda?

hapana sijawah kumuona KADINDA
 
Kwani sporah show sio mwana habari au kwa kuwa hawajamtaja jina?

Unamaanisha Sporah Njau ni paparaz wao gazet la udaku?soma vizur ulichopaste na nakumbuka wewe mwenyewe ulishalalamikia haya magazet kutokukutambua wanapocopy umbea wako!acha double standards
 
Hata sikuelewi, naona maji yameingia mafuta
 
Back
Top Bottom