Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Yaani hawa jamaa siwaelewagi elewagi,lifestyle zao mbona zimekaa kimombasa mombasa sana? Hivi nini hasa kinawapa 'ustaa' hawa jamaa maana naona wanatokeatokea sana kwenye muvi za Wema na Diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni misukule ya Dai na wema upepo unapoenda ndipo wanapoelekeaaa
Mtu kama romy jones ange omba ada aende shule kama sio chuo.. manake kama mwanaume mwenzake hana kazi huyu zaidi yaku andika "wasafi classic baby for life " how sure are you it's for life? Hana kazi huyu jamaa zaidi yaku mjazia Diamond majukumu yaku mlisha naku mvalisha siku Diamond aki shuka kimziki ndio kwisha habari yake.. kwani kipindi watu hawa mjui Diamond nani alikua ana mjua huyu? Martin kadinda sasa na yeye ana dai eti wanaume wana mtamani alisha post mwenyewe insta hii kitu..sasa dume zima una post ujinga kama huu insta huna wazazi wewe vp wakiona eti wanaume wenzako wana kutamani? Petiman na yeye hana kazi endelea kula kwa madam wako.. na sharubu zote eti wema ana muita mtoto wangu.. na jamaa ana kenua ana ona byeee!
ofkoz umeongea kitu cha msingi sana..
diamond ampe ada huyo romy jones walau akasome the amazon college
Ha watu mna mambo lol amazon college jitu zima kama rommy? Huyu Jamaa si alikuwa anafanya kazi clouds tv au kapigwa chini? Rommy ni DJ wa Domo na video model wa domo(mbagala) petit ni mario na mdananda,martin what more can I say bout him? Ulishawahi kumuona kadinda?
Teh teh tehHebu wekeni na picha za hawa watu na wengine tu wajue kwa sura
Ha watu mna mambo lol amazon college jitu zima kama rommy? Huyu Jamaa si alikuwa anafanya kazi clouds tv au kapigwa chini? Rommy ni DJ wa Domo na video model wa domo(mbagala) petit ni mario na mdananda,martin what more can I say bout him? Ulishawahi kumuona kadinda?