Martin Kadinda, Rommy Jones, Petit Man

Martin Kadinda, Rommy Jones, Petit Man

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Yaani hawa jamaa siwaelewagi elewagi,lifestyle zao mbona zimekaa kimombasa mombasa sana? Hivi nini hasa kinawapa 'ustaa' hawa jamaa maana naona wanatokeatokea sana kwenye muvi za Wema na Diamond
 
Mtu kama romy jones ange omba ada aende shule kama sio chuo.. manake kama mwanaume mwenzake hana kazi huyu zaidi yaku andika "wasafi classic baby for life " how sure are you it's for life? Hana kazi huyu jamaa zaidi yaku mjazia Diamond majukumu yaku mlisha naku mvalisha siku Diamond aki shuka kimziki ndio kwisha habari yake.. kwani kipindi watu hawa mjui Diamond nani alikua ana mjua huyu? Martin kadinda sasa na yeye ana dai eti wanaume wana mtamani alisha post mwenyewe insta hii kitu..sasa dume zima una post ujinga kama huu insta huna wazazi wewe vp wakiona eti wanaume wenzako wana kutamani? Petiman na yeye hana kazi endelea kula kwa madam wako.. na sharubu zote eti wema ana muita mtoto wangu.. na jamaa ana kenua ana ona byeee!
 
ofkoz umeongea kitu cha msingi sana..
diamond ampe ada huyo romy jones walau akasome the amazon college
 
Ha watu mna mambo lol amazon college jitu zima kama rommy? Huyu Jamaa si alikuwa anafanya kazi clouds tv au kapigwa chini? Rommy ni DJ wa Domo na video model wa domo(mbagala) petit ni mario na mdananda,martin what more can I say bout him? Ulishawahi kumuona kadinda?
 
Kadinda kibaiskeli watu wanakiendesha
 
Hebu wekeni na picha za hawa watu na wengine tu wajue kwa sura
 
Ha watu mna mambo lol amazon college jitu zima kama rommy? Huyu Jamaa si alikuwa anafanya kazi clouds tv au kapigwa chini? Rommy ni DJ wa Domo na video model wa domo(mbagala) petit ni mario na mdananda,martin what more can I say bout him? Ulishawahi kumuona kadinda?

hahaaa!!
 
Kuna kitu nashangaa kwa wasanii wetu hawa, utakuta mtu ana wapambe kibao ukiangalia kwa undani hawana cha maana chochote.

Huyo johns hajui chochote zaid ya kuambatana na domo wakati anatakiwa kuwa na ishu nyingine nje ya kazi za domo.

Kuna watu wanakaribia kuumbuka
 
Yaani wote hao huyu mmoja tu ndie kichefuchefu kwangu....petit man jamani simpendi huyu mtu balaa,muda wote kujibebisha tu huko insta na hivi ana date na bibi esma ndio kabisaaa
 
martin k.jpg
 
I'd co I'd dyu NBC ssh bc sh LLC st iv oh eg unamjua en ic si........
 
Hao do rolemodel wa vijana wetu wasasa mtoto wa kiume kutaj jina na kuongeza beiby.yaaan wananikera haooooo bahati yao sio ndugu zangu.Kandida naona kama ni family driver manager gani una ambatana na mteja kila sehemu?Romy nae Dj kila mahala mpaka supermarket???????

Vijana awa hakika si riziki maana awajawahi ata kuonesha marafiki zao wa kike so even time for themselves hawana.Nabado mna dhani ushoga unatoka ughaibuni???????wana bahati awajazaliwa kwetu.
 
me sielewi jons ni msanii au kinuli tu maana hana jipya zaidi naunga mkono aende the amazon college akasome maana ada wanapokea kidigo kidogo
 
uyo bald man nae nasikia ni bingwa wa kubokoa wanaume wenzie
 
Attachments

  • 1409518260851.jpg
    1409518260851.jpg
    56 KB · Views: 539
Back
Top Bottom