Martin Maranja amtaka Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kuacha kutumia ofisi ya umma kama chanzo chake cha mapato!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
“Msajili wa Vyama vya Siasa anawataka CHADEMA muwasilishe maelezo kueleza kwa nini usajili wa chama chenu usisimamishwe au kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo masharti ya usajili.” — Msajili wa Vyama vya Siasa.

Kwamba CHADEMA itozwe faini/kufutiwa usajili kwa kutoa wito wa kuitisha maandamano ikiwa Tundu Lissu hataachiwa huru? Tangu lini imekuwa kosa la jinai chama cha siasa kuitisha maandamano? Mmerogwa?

Kwamba CHADEMA wafutiwe usajili kwa kuwapongeza wananchi kuandamana October 29, 2025? Chama cha siasa kuwapongeza raia kutimiza wajibu wa kiraia wa kushirikia maandamano ni kosa la jinai? Shensisana.

Kwamba wapigwe faini Au kufutiwa usajili kwa kamati kuu kuazimia kwamba utawala uliopo madarakani ni wa kimabavu na haukuchaguliwa na watu? Kwani ni uongo? Uchaguzi haukufanyika, wamejitangaza washindi tu.

Kuna hatari kubwa ya kuajiri viongozi kwa mikataba baada ya umri wa kustaafu, kwani wanakosa ubunifu na kugeuza ofisi za umma kuwa vyanzo vya mapato. Vitisho vya Msajili dhidi ya CHADEMA havina mashiko.

CHADEMA si taasisi ya kisheria inayoweza kufutwa kwa kalamu, bali ni itikadi na imani ambayo haitishwi na watawala. CHADEMA kwa sasa ni zaidi ya chama cha siasa; ni imani ya watanzania, na imani haifutwi.

CHADEMA tumeshatoka kuwa chombo cha kisiasa chenye ofisi na makaratasi, uelekeo ni kuwa harakati ya kijamii (social movement). Itikadi hupandwa ndani ya watu. Msajili, unaweza kufuta imani ya watu?

CHADEMA imeacha kuwa tu taasisi inayotafuta madaraka; CHADEMA imekuwa alama ya; Upinzani dhidi ya mfumo uliopo. Matumaini ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi. Utambulisho wa kifikra (Identity politics).

Msajili, umezeeka, staafu salama usitafute laana. Unatumika vibaya sana. Mamlaka zinaweza kutumia sheria kudhibiti taasisi (Institutional control), lakini ni vigumu sana kudhibiti kile watu wanachokiamini.

CHADEMA ni imani. Tumejenga ukuta wa kinga ambapo kila shinikizo kutoka kwa Msajili wa Vyama linatafsiriwa kama shambulio dhidi ya imani yetu, jambo ambalo huongeza hamasa (mobilization) badala ya woga.

Acheni UDUANZI. MaCCM yameanza kutoa milio.
 
Gentleman,
si angewakemea kwanza viongozi wa chadema taifa kama vile heche kwa kuifanya chadema kama kitega uchumi chake cha kumpatia pesa ya kujikimu?
 
Oops Aibu Sana
Hawa wastaafu wanajidhalilisha kupita kiasi, kila uchwao wanazusha kituko kipya ili mradi waendelee kubaki ofisini!

Wapumbavu sana!
 
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Umekuwa Mstaafu Kwa Heshma Nzuri
Unapewa Kazi Za Mikataba Unajitia Aibu Na Tanzania Inakudharau Hadi Mbuzi
Hawa wastaafu wanajidhalilisha kupita kiasi, kila uchwao wanazusha kituko kipya ili mradi waendelee kubaki ofisini!

Wapumbavu sana!
 
Hivi huyo mtu mmoja ndio wa kutusumbua watu mamilioni kweli. Wabongo tunafeli wapi. Si afute kesho yake twende watu maelfu kwake atuambie ana makende mangapi. Ndio maana napenda watu wa capital city of africa. Hapa ingekuwa ni wao hiyo ofisi kwa sasa ingekuwa chungu kwa huyo mzee akili msenge
 
Kwa ujinga wao huwa wanajimbia...''kama tulioua maelfu na wakaufyata, ni nani wakututisha''? Hukusikia muuaji Samia akiwa Zanzibar akijigamba alivyoua kuwa ''kawaulizeni wenzenu, hawana hamu ya kutoka tena''. Wanajua watanzania ni waoga na hawathubutu kufanya lolote. NB: Tarehe 29/10, tulikuwa na opportunity kubwa sana ya kuwandoa lakini woga wa wananchi ndiyo ulisababisha kutofanikiwa. Yes, baadae waliingiza vikosi vya mauaji mitaani lakini watu wengi wangetoka ile asubuhi, hao wauaji wangezidiwa.
 
no kwa mda ule nchi haikuwa na rais ila kwa sasa watu wakiamka kitaeleweka coz wamemukikwa kwa jicho la tatu kila sehemu. And am sure siku watu wakiandamana polis hatafanya chochote labda ya machoz tu lakin za moto nefaa. Ila ipo cku yao tu.
 
Ma CHADEMA hamnaga akili kabisa . Anammkemea Kama Nani? CHADEMA inapaswa kufutwa kabisa maana imejaa majitu yasiyo jitambua kabisa.
 
“Msajili wa Vyama vya Siasa anawataka CHADEMA muwasilishe maelezo kueleza kwa nini usajili wa chama chenu usisimamishwe au kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo masharti ya usajili.” — Msajili wa Vyama vya Siasa.

Kwamba CHADEMA itozwe faini/kufutiwa usajili kwa kutoa wito wa kuitisha maandamano ikiwa Tundu Lissu hataachiwa huru? Tangu lini imekuwa kosa la jinai chama cha siasa kuitisha maandamano? Mmerogwa?

Kwamba CHADEMA wafutiwe usajili kwa kuwapongeza wananchi kuandamana October 29, 2025? Chama cha siasa kuwapongeza raia kutimiza wajibu wa kiraia wa kushirikia maandamano ni kosa la jinai? Shensisana.

Kwamba wapigwe faini Au kufutiwa usajili kwa kamati kuu kuazimia kwamba utawala uliopo madarakani ni wa kimabavu na haukuchaguliwa na watu? Kwani ni uongo? Uchaguzi haukufanyika, wamejitangaza washindi tu.

Kuna hatari kubwa ya kuajiri viongozi kwa mikataba baada ya umri wa kustaafu, kwani wanakosa ubunifu na kugeuza ofisi za umma kuwa vyanzo vya mapato. Vitisho vya Msajili dhidi ya CHADEMA havina mashiko.

CHADEMA si taasisi ya kisheria inayoweza kufutwa kwa kalamu, bali ni itikadi na imani ambayo haitishwi na watawala. CHADEMA kwa sasa ni zaidi ya chama cha siasa; ni imani ya watanzania, na imani haifutwi.

CHADEMA tumeshatoka kuwa chombo cha kisiasa chenye ofisi na makaratasi, uelekeo ni kuwa harakati ya kijamii (social movement). Itikadi hupandwa ndani ya watu. Msajili, unaweza kufuta imani ya watu?

CHADEMA imeacha kuwa tu taasisi inayotafuta madaraka; CHADEMA imekuwa alama ya; Upinzani dhidi ya mfumo uliopo. Matumaini ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi. Utambulisho wa kifikra (Identity politics).

Msajili, umezeeka, staafu salama usitafute laana. Unatumika vibaya sana. Mamlaka zinaweza kutumia sheria kudhibiti taasisi (Institutional control), lakini ni vigumu sana kudhibiti kile watu wanachokiamini.

CHADEMA ni imani. Tumejenga ukuta wa kinga ambapo kila shinikizo kutoka kwa Msajili wa Vyama linatafsiriwa kama shambulio dhidi ya imani yetu, jambo ambalo huongeza hamasa (mobilization) badala ya woga.

Acheni UDUANZI. MaCCM yameanza kutoa milio.
Simply CHADEMA wajibu tu barua ya the so called Msajili. Huku jf hakutosaidia
 
Linawashwa hilo, mama ake ameua watu wangapi?, amechukua hatua gani kwa hicho chama cha mkoloni mweusi?, akiifungia chadema upinzani ndio utaisha?.
 
“Msajili wa Vyama vya Siasa anawataka CHADEMA muwasilishe maelezo kueleza kwa nini usajili wa chama chenu usisimamishwe au kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo masharti ya usajili.” — Msajili wa Vyama vya Siasa.

Kwamba CHADEMA itozwe faini/kufutiwa usajili kwa kutoa wito wa kuitisha maandamano ikiwa Tundu Lissu hataachiwa huru? Tangu lini imekuwa kosa la jinai chama cha siasa kuitisha maandamano? Mmerogwa?

Kwamba CHADEMA wafutiwe usajili kwa kuwapongeza wananchi kuandamana October 29, 2025? Chama cha siasa kuwapongeza raia kutimiza wajibu wa kiraia wa kushirikia maandamano ni kosa la jinai? Shensisana.

Kwamba wapigwe faini Au kufutiwa usajili kwa kamati kuu kuazimia kwamba utawala uliopo madarakani ni wa kimabavu na haukuchaguliwa na watu? Kwani ni uongo? Uchaguzi haukufanyika, wamejitangaza washindi tu.

Kuna hatari kubwa ya kuajiri viongozi kwa mikataba baada ya umri wa kustaafu, kwani wanakosa ubunifu na kugeuza ofisi za umma kuwa vyanzo vya mapato. Vitisho vya Msajili dhidi ya CHADEMA havina mashiko.

CHADEMA si taasisi ya kisheria inayoweza kufutwa kwa kalamu, bali ni itikadi na imani ambayo haitishwi na watawala. CHADEMA kwa sasa ni zaidi ya chama cha siasa; ni imani ya watanzania, na imani haifutwi.

CHADEMA tumeshatoka kuwa chombo cha kisiasa chenye ofisi na makaratasi, uelekeo ni kuwa harakati ya kijamii (social movement). Itikadi hupandwa ndani ya watu. Msajili, unaweza kufuta imani ya watu?

CHADEMA imeacha kuwa tu taasisi inayotafuta madaraka; CHADEMA imekuwa alama ya; Upinzani dhidi ya mfumo uliopo. Matumaini ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi. Utambulisho wa kifikra (Identity politics).

Msajili, umezeeka, staafu salama usitafute laana. Unatumika vibaya sana. Mamlaka zinaweza kutumia sheria kudhibiti taasisi (Institutional control), lakini ni vigumu sana kudhibiti kile watu wanachokiamini.

CHADEMA ni imani. Tumejenga ukuta wa kinga ambapo kila shinikizo kutoka kwa Msajili wa Vyama linatafsiriwa kama shambulio dhidi ya imani yetu, jambo ambalo huongeza hamasa (mobilization) badala ya woga.

Acheni UDUANZI. MaCCM yameanza kutoa milio.
CHADEMA ni imani. Tumejenga ukuta wa kinga ambapo kila shinikizo kutoka kwa Msajili wa Vyama linatafsiriwa kama shambulio dhidi ya imani yetu, jambo ambalo huongeza hamasa (mobilization) badala ya woga.💪🏿
 
Back
Top Bottom