Pre GE2025 Martin Maranja kutangaza nia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Udhaifu wake ni kuwa na hasira za haraka
 
Mungu awe naye sana…….watu wa kanda ya Zika tena caliber ya kina Heche,Wenje,Magu,Makonda na Nyerere ni watu makini sana kuliko kanda yoyote ile

Source;Mtaa unaongea
 
Udhaifu wake ni kuwa na hasira za haraka
Ana hasira za haraka lakini hana uwezo wa kutengeneza original ideas ndio maana kitu kidogo anapanic. Hii ni kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kujionesha yupo right kupitia attacks, matukio na data ila hana uwezo mkubwa wa kuingia kwenye mijadala inayoenda zaidi ya hapo.

Ndio maana mtu akimpa challenge inayomuhitaji yeye kutumia uwezo wake binafsi bila hizo references huwa anaishia kutukana na kublock ili kulinda pride yake.

Kwa hiyo Martin anaweza kuwa mwanaharakati mzuri na ninamkubali sana kwa ujasiri wake maana ni wachache wanao. Ila kwenye uwezo wake kiuongozi sina hakika japo najua anaweza kuingia bungeni na akawa asset kwa sababu hata bunge letu lina shortage ya watu wanaoweza chambua data, kuongea ukweli na kuainisha matukio ili kuchochea safari ya kufikia kwenye ukweli.
 
Kwanza mpaka sasa hatuna bunge kunakusanyiko la majangili tupu humo ndani, aacha aingie huko atasaidia kwa kiasa chake
 
Maana mtu ambaye hataki kukosolewa huku hana power yoyote zaidi ya online platform. Patia picha akipewa madaraka
Hoja ijibiwe kwa hoja, kuna watu kwenye mitandao wako radhi wabishane na ukweli hata kwa kitu kilicho wazi na chenye ushahidi

Wanataka ubishani usio na maana yoyote ndio hao hukimbilia kusema hautaki kukosolewa kisa tu wamekosa hoja ya kukubana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…