Ana hasira za haraka lakini hana uwezo wa kutengeneza original ideas ndio maana kitu kidogo anapanic. Hii ni kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kujionesha yupo right kupitia attacks, matukio na data ila hana uwezo mkubwa wa kuingia kwenye mijadala inayoenda zaidi ya hapo.
Ndio maana mtu akimpa challenge inayomuhitaji yeye kutumia uwezo wake binafsi bila hizo references huwa anaishia kutukana na kublock ili kulinda pride yake.
Kwa hiyo Martin anaweza kuwa mwanaharakati mzuri na ninamkubali sana kwa ujasiri wake maana ni wachache wanao. Ila kwenye uwezo wake kiuongozi sina hakika japo najua anaweza kuingia bungeni na akawa asset kwa sababu hata bunge letu lina shortage ya watu wanaoweza chambua data, kuongea ukweli na kuainisha matukio ili kuchochea safari ya kufikia kwenye ukweli.