Pre GE2025 Martin Maranja kutangaza nia?

Pre GE2025 Martin Maranja kutangaza nia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huko mitaani kushaanza kuwaka moto wa mabango, mmoja yuko kwenye bodaboda, huku mwingine yuko kwenye Bajaj.

Jambo la kufurahisha ni tangazo la Waziri wa Tamisemi kwamba vyombo hivyo visiguswe na Polisi

Screenshot_2024-07-06-11-53-06-1.png
 
Ukileta usenge unalimwa block

Ijapokuwa mimi sinaga hizo swaga tutaenda sawa mpaka dakika ya mwisho
Hapana Martin ni reporter au good analyst. Kitu kinachomfanya kukosa zile original ideas ndio maana akipewa challenges kidogo, bila kupata reference huwa anageuka mbogo kwa sababu sidhani kama ana ile natural intelligence au intellectual capacity ya kuweza kurandana na watu kama zitto ambao huwa wanaweza kusimamia wanachokiamini kwa hoja.

Kingine ego level yake ipo juu sana na nadhani akipewa title kama ya the late anko magu anaweza kuwa vibaya kumzidi. Maana mtu ambaye hataki kukosolewa huku hana power yoyote zaidi ya online platform. Patia picha akipewa madaraka
 
Back
Top Bottom